Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Angalia kuanzia kama dakika ya 06:10, uone anachokiongea Mbunge (chadema) wa Mbeya mjini Sugu, halafu oanisha na picha hizo hapo chini ambazo ni Hoteli yake anayoijenga huko huko kwao Mbeya, hawo ndiyo Wabunge wa Upinzani wanaojiita wakombozi wa MtanZania masikini!
Sikiliza kwa makini sana kuanzia 06:10 halafu jiulize tena hawa Wanasiasa wako kwa maslahi ya nani nchi hii???
Jiulize tena wanavyompinga Raisi Magufuli ni kwamba kweli wako upande wa WatanZania masikini au wako upande upi? Yaani ni nani kati ya Raisi Magufuli na chadema yuko upande Mungu na yupi upande wa shetani?? Video inaongea kila kitu!
Ndugu Mtanzania kuwa Hakimu mwenyewe, uamuzi ni wako!
Hoteli ya Mbunge Sugu(chadema) anayojenga huko Mbeya!

Kuanzia ~ 06:10