kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,980
Kwani ni Genocide mpaka tupeperushe bendera nusu mlingoti? Taarifa ya awali ilisemajePolisi wanaendelea na Upelelezi mlitaka Serikal ipeperushe Bendera nusu Mlingoti?
Ushirikiano gani zaid ya kusubiri report na taarifa za Vyombo vya Dola?

Kwani kumetokea nini...maana wengine hatujui.anazungumza wazi kabisa jinsi ambayo ushirikiano ulivyo kuwa mbovu wa serikali baada ya tukio
Na kuona kama hakikutokea kitu chochote
Ingekua CCM, Magufuli angelifanya kua swalanla kitaifa. Angetangaza kuwepo uzalendo.Inakuwaje hadi hii leo Magufuli, Waziri wa Sheria na Jaji Mkuu hawajakemea huu mlipuko wa hii ofisi ya hawa Wanasheria? Hivi ingekuwa imelipuliwa ofisi ya CCM jijini hawa watu wangekaa kimya kwa muda wote huu? KULIKONI!!?
Hili ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga wa watanzania wengi na weredi wa juu ktk umbumbumbu.....Mbona yeye na wenzake wa upinzani haswa viongozi wa Chadema..hata yule mwenzake patina wake.. hawakukemea ya Kibiti na hawakemei mengine mengi!?
Hili ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga wa watanzania wengi na weredi wa juu ktk umbumbumbu.....
-Domhome-