Limebagua mini hapo??View attachment 333610 cheki lijamaa lilivyo libaguzi, naongea kutoka kwenye dhati ya moto wangu, SILIPENDI, ptuuu!
Huoni mkono wake alivyomhold mdada kiunoni? Kamhold Kwa vidole, Kama anaogopa kuchafukaLimebagua mini hapo??
Jamaa ana mikono midogo sana.Huoni mkono wake alivyomhold mdada kiunoni? Kamhold Kwa vidole, Kama anaogopa kuchafuka
Mapozi.Huoni mkono wake alivyomhold mdada kiunoni? Kamhold Kwa vidole, Kama anaogopa kuchafuka
Duuh nadhani unamchukulia tofauti. Anyways Mimi sio mtaalam was body languageHuoni mkono wake alivyomhold mdada kiunoni? Kamhold Kwa vidole, Kama anaogopa kuchafuka
wengine wanadanganywa na udaku kuhusu trump. kumbe jamaa ni mtu mzuri tu fatilia kitabu chake cha "how i get rich"Duuh nadhani unamchukulia tofauti. Anyways Mimi sio mtaalam was body language