Msikilize D.Trump mwaka 1988, huwezi amini!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,817
Donald Trump!
Hii video ni ya mwaka 1988, ukimsikiliza Donald Trump aliyoyaongea na anayoyaongea leo hakuna tofauti, ningekuwa Mmarekani huyu Jamaa angekuwa na kura yangu!
Sasa linganisha na Mbowe, Lisu &Co. leo wanatuambia Lowasa fisadi na hafai kuwa Raisi wa nchi mwezi mmoja baadaye wanatuambia anafaa kuwa raisi wa nchi yetu na kwamba yeye siyo fisadi wakati wao ndiyo waliotuambia kwamba ni fisadi!

 
1998 Donald Trump... “If I were to run, I’d run as a Republican. They’re the dumbest group of voters in the country. They believe anything on Fox News. I could lie and they’d still eat it up. I bet my numbers would be terrific.” (fiction )
 
1459367527734.jpg
cheki lijamaa lilivyo libaguzi, naongea kutoka kwenye dhati ya moto wangu, SILIPENDI, ptuuu!
 
Chadema ilikosea sana kwa kuilawiti misimamo na imani ya chama chao. Kama walizunguka nchi nzima kuhubiri ufisadi na kumtaja Lowassa kwa jina kuwa ni fisadi halafu wao (chadema) wakampokea huyo waliyemuita fisadi (Lowassa). Tafsiri yake ni kwamba
1. Chama hiki kiko tayari kumpaka mtu matope kwa maslahi finyu ya chama.
2. Kama walijua tangu mwanzo kuwa Lowassa si fisadi lkn wakamwita fisadi basi ni chama hatari. Kama hawakujua kuwa Lowassa si fisadi basi ni chama kinacho kurupuka katika sera na maamuzi yake. Hakiaminiki tena.
 
Duuh nadhani unamchukulia tofauti. Anyways Mimi sio mtaalam was body language
wengine wanadanganywa na udaku kuhusu trump. kumbe jamaa ni mtu mzuri tu fatilia kitabu chake cha "how i get rich"
 
Back
Top Bottom