Huyu Askofu wa KKKT ni aibu kubwa kwa jamii.
Askofu ambaye anashindwa kukemea uovu, astahili kuendelea kuwepo kwenye hiyo nafasi.
Sijawahi kumsikia huyu idiot akikemea wizi wa kura au mauaji ya halaiki.
Leo anatumia madhabau kuisafisha serikali iliyoua maelfu ya watu.
Anasema hakuna tofauti ya dhambi, kwa kuwa anataka ku-justify watu waliouliwa…