Mlevi mmoja kakutwa na mwalimu anakojoa maeneo ya shule. Mazungumzo yao yakawa hivi. Mwalimu; kwanin unakojoa hapo, Soma hilo bango linasemaje? Mlevi; linasema usikojoe hapa. Mwalimu; sasa wewe kwann umekojoa? Mlevi; kutoka moyoni, haki ya mama nilijua ni jina la shule. Jaman ungekuwa ww ndiye mwl ungemfanyaje?
Hahaaa...chukua na hii
mlevi:samahani blaza,eti hapa wanauza gongo wapi?
Jamaa🙁akimuoneshea kwa kidole)angalia kuleeeee.....mwisho wa kidole changu unaona nini?
Mlevi:naona kucha!!
Hahaaa...chukua na hii
mlevi:samahani blaza,eti hapa wanauza gongo wapi?
Jamaa🙁akimuoneshea kwa kidole)angalia kuleeeee.....mwisho wa kidole changu unaona nini?
Mlevi:naona kucha!!
Ona na hii mlev alikuwa anakula ugali na samaki
mkewe akamwambia"mume wng angalia miba" Mlevi akamjibu
"Usijali mke wangu nmevaa viatu".....pombe noumaaa