Msije kuwaita wasaliti tena-Mmeshawafukuza

Moja kwa moja kwenye mada husika. Chadema kwa sasa mnafurahia kuwaondoa hao mnaowaita COVID 19 lakini mkumbuke hao ndio waliokipigania chama. Wakati wanavuja jasho na damu kuwatetea wengi wenu mlikuwa nyuma ya TV mkiangalia wao wakiwa mstari wa mbele kupigwa mabomu ya machozi.

Chama kinazidi kupunguza nguvu ya ushawishi kwa kuwaondoa wapiganaji wa Chama na kuleta watukanaji matusi ambao wao kutukana ndio hoja yao ya msingi.

Mmewafukuza uanachama na lengo lenu wapotee kisiasa, wanapoenda ACT Wazalendo wakipewa platform na wakainuka tena kisiasa kama ilivyo kwa Zito Kabwe msianze kuwadandia tena na maneno yenu ya ovyo sijui wasaliti hawapaswi kuaminiwa. Wapo watu wanawaamini, ndio maana hata kwenye kura zilizopigwa zipo perent zinaonesha hawajakubaliana na maamuzi na zingine zikiwa NEUTRAL.
Wanaenda chama cha wasaliti.
 
Lakini wamevuna mishahara @13m TZS kila mwezi
Na bado kumwaga ugali kutaendelea wasipotuliza masaburi! Jinai haifi na haina muda!
1. Forgery of signatures : Jinai
2. Kujipatia 13 kila mwezi kwa njia ya udanganyifu- Jinai! NK John Mallya, Mtobesya na babalao kiba taaala
 
Moja kwa moja kwenye mada husika. Chadema kwa sasa mnafurahia kuwaondoa hao mnaowaita COVID 19 lakini mkumbuke hao ndio waliokipigania chama. Wakati wanavuja jasho na damu kuwatetea wengi wenu mlikuwa nyuma ya TV mkiangalia wao wakiwa mstari wa mbele kupigwa mabomu ya machozi.

Chama kinazidi kupunguza nguvu ya ushawishi kwa kuwaondoa wapiganaji wa Chama na kuleta watukanaji matusi ambao wao kutukana ndio hoja yao ya msingi.

Mmewafukuza uanachama na lengo lenu wapotee kisiasa, wanapoenda ACT Wazalendo wakipewa platform na wakainuka tena kisiasa kama ilivyo kwa Zito Kabwe msianze kuwadandia tena na maneno yenu ya ovyo sijui wasaliti hawapaswi kuaminiwa. Wapo watu wanawaamini, ndio maana hata kwenye kura zilizopigwa zipo perent zinaonesha hawajakubaliana na maamuzi na zingine zikiwa NEUTRAL.
Kumbe ukipigania chama kwa jasho na maumivu makubwa ndiyo unakuwa juu ya chama?!!!
 
Moja kwa moja kwenye mada husika. Chadema kwa sasa mnafurahia kuwaondoa hao mnaowaita COVID 19 lakini mkumbuke hao ndio waliokipigania chama. Wakati wanavuja jasho na damu kuwatetea wengi wenu mlikuwa nyuma ya TV mkiangalia wao wakiwa mstari wa mbele kupigwa mabomu ya machozi.

Chama kinazidi kupunguza nguvu ya ushawishi kwa kuwaondoa wapiganaji wa Chama na kuleta watukanaji matusi ambao wao kutukana ndio hoja yao ya msingi.

Mmewafukuza uanachama na lengo lenu wapotee kisiasa, wanapoenda ACT Wazalendo wakipewa platform na wakainuka tena kisiasa kama ilivyo kwa Zito Kabwe msianze kuwadandia tena na maneno yenu ya ovyo sijui wasaliti hawapaswi kuaminiwa. Wapo watu wanawaamini, ndio maana hata kwenye kura zilizopigwa zipo perent zinaonesha hawajakubaliana na maamuzi na zingine zikiwa NEUTRAL.
Mtu akifukuzwa akaenda kwingine haitwi msaliti....
 
Usaliti ni kama rangi ya ngozi haiwezi kubadilika kwa mkorogo
 
Najiuliza sana .... Kwanini CCM ndio wanaumia kufukuzwa Kwa Hawa COVID 19!!??
 
Si wabakie ccm tu ya nini kujiunga na chama chengine.
 
Back
Top Bottom