Amemsifia akasema nini? Tukijua amemsifia nini ndio tunaweza kusema ni sifa asizostahili au la!Hivi upinzani msimamo wao ni upi. Kuanza kumkumbuka jk mapema hv ni kujichimbia kaburi msigwa kuanza kumsifia jk bungeni inanipa picha kuwa upinzani unakufa mbele ya magufuli. Mnashindwa kujenga hoja...mangapi jk mlimsema leo tena mnamkumbuka. Upinzani ovyo kabisa hamna msimamo. Acha ccm watuongoze tu
Ukweli unatabia moja,haufi!
"Mimi nasikitishwa na
jambo moja, tumefika hapa kutokana udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa bunge na wabunge na tumefikahapa kutokana na upuuzi wa CCM, nasema hivi nina ushahidi.”
Mnyika (2012)
Ni kweli si dhambi kuanza kumsifia jk lakini kwa jinsi walivyomkataa jk leo wanamkumbuka. Ni unafiki
Hivi upinzani msimamo wao ni upi. Kuanza kumkumbuka jk mapema hv ni kujichimbia kaburi msigwa kuanza kumsifia jk bungeni inanipa picha kuwa upinzani unakufa mbele ya magufuli. Mnashindwa kujenga hoja...mangapi jk mlimsema leo tena mnamkumbuka. Upinzani ovyo kabisa hamna msimamo. Acha ccm watuongoze tu
Ukweli unatabia moja,haufi!
"Mimi nasikitishwa na
jambo moja, tumefika hapa kutokana udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa bunge na wabunge na tumefikahapa kutokana na upuuzi wa CCM, nasema hivi nina ushahidi.”
Mnyika (2012)
Ni kweli si dhambi kuanza kumsifia jk lakini kwa jinsi walivyomkataa jk leo wanamkumbuka. Ni unafiki
Umekurupuka mkuu,nawe mwanaume wa Dar nini?Hivi upinzani msimamo wao ni upi. Kuanza kumkumbuka jk mapema hv ni kujichimbia kaburi msigwa kuanza kumsifia jk bungeni inanipa picha kuwa upinzani unakufa mbele ya magufuli. Mnashindwa kujenga hoja...mangapi jk mlimsema leo tena mnamkumbuka. Upinzani ovyo kabisa hamna msimamo. Acha ccm watuongoze tu
Ukweli unatabia moja,haufi!
"Mimi nasikitishwa na
jambo moja, tumefika hapa kutokana udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa bunge na wabunge na tumefikahapa kutokana na upuuzi wa CCM, nasema hivi nina ushahidi.”
Mnyika (2012)
Ni kweli si dhambi kuanza kumsifia jk lakini kwa jinsi walivyomkataa jk leo wanamkumbuka. Ni unafiki
Kwanini asisifiwe kikwete huwezi kumfananisha na rais yoyote Kwa sasa Kwa mbali mzee RuksaHivi upinzani msimamo wao ni upi. Kuanza kumkumbuka jk mapema hv ni kujichimbia kaburi msigwa kuanza kumsifia jk bungeni inanipa picha kuwa upinzani unakufa mbele ya magufuli. Mnashindwa kujenga hoja...mangapi jk mlimsema leo tena mnamkumbuka. Upinzani ovyo kabisa hamna msimamo. Acha ccm watuongoze tu
Ukweli unatabia moja,haufi!
"Mimi nasikitishwa na
jambo moja, tumefika hapa kutokana udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa bunge na wabunge na tumefikahapa kutokana na upuuzi wa CCM, nasema hivi nina ushahidi.”
Mnyika (2012)
Ni kweli si dhambi kuanza kumsifia jk lakini kwa jinsi walivyomkataa jk leo wanamkumbuka. Ni unafiki
Kama kwa uhuru wa habari Kikwete ana kila sababu za kupewa sifa mkuuAkichangia bungeni alitamka bila kuficha awamu hii ya tano inataka kuminya uhuru wa habari wakati awamu ya nne ilikuwa jasiri na kurusha live bunge tunamkumbuka jk kwa kuwa jasiri wa uhuru wa habari.....
Ilibidi nicheke....leo mnamkumbuka tena. Wakati jamaa alikuwa anawasigina mkatoka bungeni kila uchwao. Msigwa uwe na msimamo
Akili ni nywele. Niliachana na CHADEMA baada ya kumuuondoa ZZK kwa kumpakazia kwenye mitandao na magazeti ya Kubenea.CHADEMA ni kikundi cha wafanyabiashara wa siasa....nilikuaga huko enzi za Zitto na Babu Slaa....nikang'amua mapema...nikatoka kabisa kwa wazungusha mikono
Unalinganisha vitu unaona kumbe afadhali ya Mkoloni! Mkoloni tulimkataa, lakini sasa kwangu mimi mkoloni alikuwa afdhali!Hivi upinzani msimamo wao ni upi. Kuanza kumkumbuka jk mapema hv ni kujichimbia kaburi msigwa kuanza kumsifia jk bungeni inanipa picha kuwa upinzani unakufa mbele ya magufuli. Mnashindwa kujenga hoja...mangapi jk mlimsema leo tena mnamkumbuka. Upinzani ovyo kabisa hamna msimamo. Acha ccm watuongoze tu
Ukweli unatabia moja,haufi!
"Mimi nasikitishwa na
jambo moja, tumefika hapa kutokana udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa bunge na wabunge na tumefikahapa kutokana na upuuzi wa CCM, nasema hivi nina ushahidi.”
Mnyika (2012)
Ni kweli si dhambi kuanza kumsifia jk lakini kwa jinsi walivyomkataa jk leo wanamkumbuka. Ni unafiki
Mkuu, Watanzania wengi hawamfahamu vizuri Mbowe. Mbowe ni mtoto wa mjini. Kama humjui ukiona anaongea unaweza kusema huyu ni mfia nchi. Mbowe ni mfanyabiashara wa siasa. Hili kosa ndo lilitufikisha hapa la kuwaamini watoto wa mjini kama akina Kikwete. Tanzania hakuna upinzani wa kweliCHADEMA ni kikundi cha wafanyabiashara wa siasa....nilikuaga huko enzi za Zitto na Babu Slaa....nikang'amua mapema...nikatoka kabisa kwa wazungusha mikono