Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Januari 20, 2026 na vyombo vya habari amesema serikali mkataba NA DP World kudumu kwa miaka 30
Aidha ameeleza kuwa malengo yaliyowekwa na serikali ilikuwa kuwekeza dola Milioni 250 kwa kipindi cha miaka 5 ambapo ndani ya 2021 hadi 2022 tayari serikali imewekeza dola 214 na uwekezaji unaendelea akieleza Kampuni ya DP World yenyewe imewekeza bilioni 214