kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Wabunge wa ccm ni watu wa ajabu sana msigwa kamsifia mkurugenzi wa manispaa ya iringa mjini kwa usafi ambao msigwa naye anafanyaga na kuifanya manispa hiyo kuwa ya pili kitaifa baada ya moshi
Lakini cha ajabu hata makofi wameshindwa kupiga mpaka kawalazimisha pigeni hata makofi basi
Ndio kwa kwa kwa...hata mambo ya msingi wanabana kisa mpinzani acheni ujinga ccm!
Lakini cha ajabu hata makofi wameshindwa kupiga mpaka kawalazimisha pigeni hata makofi basi
Ndio kwa kwa kwa...hata mambo ya msingi wanabana kisa mpinzani acheni ujinga ccm!