Msigwa: Sitishwi na chochote japo Jeshi la Polisi linatumika na CCM Iringa Mjini

Inawezekana kwenye mkutano huko kihesa badala ya kusikiliza kero za wananchi ye kaanza kumshambulia RC..wakati kwenye ziara za RC hatukuona hata sehemu moja akimtaja msigwa..huyu msigwa ana matatizo sana..kuna kipindi alimtuhumu dc kasesera hadi akataka kupigana kuwa anapenda sana kumtajataja..kaja RC kaonaa hatajwitajwi, ye ndio anaanza kumtajataja kwa kuita waandishi na mikutano ya kisiasa..azuiliwe tu maana hana hoja za kusaidia wananchi.
Mabondia wa chadrama walahi
 
Tumepoteza mwelekeo mpaka tunafikiri kuwa ukiwa na cheo halafu mtu akapishana na wewe dawa ni kumuweka ndani, tumesahau kabisa kuwa haki huinua taifa Mithali 14:34
 
Inawezekana kwenye mkutano huko kihesa badala ya kusikiliza kero za wananchi ye kaanza kumshambulia RC..wakati kwenye ziara za RC hatukuona hata sehemu moja akimtaja msigwa..huyu msigwa ana matatizo sana..kuna kipindi alimtuhumu dc kasesera hadi akataka kupigana kuwa anapenda sana kumtajataja..kaja RC kaonaa hatajwitajwi, ye ndio anaanza kumtajataja kwa kuita waandishi na mikutano ya kisiasa..azuiliwe tu maana hana hoja za kusaidia wananchi.
Ukishaanza na neno inawezeka taarifa nzima inakuwa haina ukweli wowote.
Hisia mara zote hazielezei ukweli halisi wa jambo husika maana hubaki kuwa hisia tuuuuuuhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom