Msigwa Simama Imara

Msigwa Simama Imara

Msigwa simama imara!

Ingawa mjadala wa Kesi ya Kinana na Msigwa hapa JF ni contempt of court....niseme haya

1. Kwamba uzi wowote unaozusha mjadala huu unaweza kuwa 'dry run' kutafuta mawazo ya kumtoa mtu kwenye utata; yaani ni kumsaidia kinana kutoka kwenye kibano. Uzi unaweza kuanza kama "dry run." kutafuta njia za kukwepa tatizo. wanakusanya mawazo.... Msigwa usiteteleke....

2. As far as I am concerned, zipo adhabu kwa mtu au taasisi yoyote ambayo inatumiwa kama "accessory" katika kutenda kosa. Kosa limefanyika. Pembe haramu zimepatikana. Kwa hiyo kama Kinana ni mmiliki Mkuu wa kampuni iliyotenda kosa hilo la jinai, yeye ni accessory katika jinai hiyo. ana kesi ya kujibu.

Msigwa simama imara!

ww ni kilaza kweli hata hufatilii wala kusoma mambo yanayotokea..kinana hana kampuni ya kusafirisha mizigo, ni wakala wa clearing and forwading ..hana mamlaka ya kilichomo ndani ya meli..ni sawa na mpiga debe pale stand. Msigwa lazima ashikwe pabaya
 
Acheni kutukanana mods kamata hawa

"To know the enemy is half the victory"
 
Mabasi ya Mtei yanabeba majambazi kutoka Arusha kuja Dar Es Salaam kufanya ujambazi.

Wabeba "unga" kila siku wanasafiri kwa ndege za mashirika mbalimbali.

Tunaelewa kwamba mtu akipenda, chongo huita kengeza lakini wakati mwingine kabla hujatuletea thread yako hapa jamvini ukae chini ufikirie kwanza na uweke mapenzi pembeni.

Sumu gani wakati wewe ni chakula cha kinana
 
Maelezo mengi lakini ukiyasoma hayana logic yoyote ya maana achilia mbali national and international legal ground such as Marine and shipping law. Are you bavicha?.

Unapoanza kuongelea kesi ni lazima argument zako ziambate na vifungu vya sheria kinyume cha hivyo ni kuendeleza longo longo za kibavicha.

Sheria hazina siasa.

Bavicha ni janga la Taifa, tuipige vita kama ukoma.


Kwa hiyo kila mtu anayeweka post ambayo inapingana na matamanio yako tayari anakuwa Bavicha. Mimi nina Umri above Fifty. Kwa hiyo siwezi kuwa Bavicha. Katika hiko chama hukipendi rika yangu ni Mbowe na wenzie wa rika hiyo.

Wewe MwanaDiwani unaumwa ugonjwa ambao katika psychoanalysis utapewa kisifa cha Mental Fixation. You are sick. Nimesoma post zako nyingi sana humu na kila unayemjibu basi lazima awe Bavicha tu. Inaelekea Bavicha kwako ni kama mwanamke ulitaka sana kum-do watu wakakubump out kabla hujamaliza. Kwa hiyo katu hatoki kichwani mwako. Bavicha alikunyima nini hadi ukajenga chuki kiasi hicho?

Now back to the topic. Kwa kuwa unataka tuamini kwamba wewe unajua sana vifungu vya sheria, hebu niambie sheria za Tanzania zinasema nini kuhusu mtu anayetumiwa kufanikisha uhalifu. Kama Kinana ni wakala wa usafirishaji tu, bills of ladding hakuziona? na kama aliziona alifanya jambo gani kuhakikisha kwamba mzigo uliokuwa unapita mkononi mwake haukuwa na legal consequences?

Wewe MwanaDiwani na gonjwa lako la Mental Fixation ndiye umeingiza siasa katika mambo ya sheria zinazohusu uhalifu wa kimataifa. Kinana amesaidia uhalifu kutendwa, kwa hiyo ni mdau katika uhalifu huu wa kusafirisha pembe za ndovu. Msigwa asiteteleke; aiache hii kesi iendelee tuone mwisho wake.
 
ww ni kilaza kweli hata hufatilii wala kusoma mambo yanayotokea..kinana hana kampuni ya kusafirisha mizigo, ni wakala wa clearing and forwading ..hana mamlaka ya kilichomo ndani ya meli..ni sawa na mpiga debe pale stand. Msigwa lazima ashikwe pabaya

Siongei na mbwa; naongea na mwenye mbwa!
 
Kuna vijana wengi kila kona ya nchi hii huwa wakisikia cdm inafanya maandamano au mkutano wao hujiandaa kwa kunywa viroba,gongo na kuvuta bangi na kujiunga na waandamanaji na kuhudhuria mikutano , Hapo kuna mambo mengi huwa yanatokea kama kutukana viongozi, kufanya udokozi,kuanzisha vurugu kwa yeyote ambaye ni wa ccm na mengine mengi kwa mgongo wa cdm na kwa kuwa viongozi wa cdm hupenda hali hii huwa haikemei na kutoa vitisho kwa police , je ? Nauliza swali hao nao ni cdm? Kama cyo kwa mu mshutumu kinana kuhusu Kampuni yake kuhusishwa na Tembo?.Msigwa kama anao ushahidi akubali kwenda mahakamani.
 
Billicanas kuna wauza unga tunawajua kwa majina. Je, hiyo inamfanya Mbowe awe accessory wa drugs pale club billicanas?

Uwe una jaribu kufikiri kwa mapana na marefu, sio tu unaleta ushabiki wako wa uchadema maana hauna tija yoyote, wewehumo humu unasema Msigwa simama imara, mwenzako yuko kikaangoni akisubiri kufilisiwa kwa hatia ya defamation.
Maskini hafilisiki,mafisadi ndiyo watakaofilisiwa.
 
Mabasi ya Mtei yanabeba majambazi kutoka Arusha kuja Dar Es Salaam kufanya ujambazi.

Wabeba "unga" kila siku wanasafiri kwa ndege za mashirika mbalimbali.

Tunaelewa kwamba mtu akipenda, chongo huita kengeza lakini wakati mwingine kabla hujatuletea thread yako hapa jamvini ukae chini ufikirie kwanza na uweke mapenzi pembeni.
Huwa naona magari yanayokamatwa yakisafirisha bangi yanashikiliwa kwa kuhusianishwa na kosa hilo.Mimi si mwanasheria,hivi sheria inasemaje kuhusu hili?Pia kuhusu samaki wa magufuli ni kwa nini walitaifisha meli?Wanasheria tusaidieni


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sheria haitamwacha Kinanda ooh! samahani kumbe ni Kinana,huyu ni jangili namba 1 anajaribu kujikosha mahakamani hajui mahakama za sasa sio xile za kuchakachua! Za kipindi kile cha kidumu chama cha matahira!
 
Kwa hiyo unataka kumaanisha Mbowe anaendesha biashara ya kuuza malaya maana pale Bilcanas kuna wanawake malaya wengi wanaojiuza.
 
Sheria haitamwacha Kinanda ooh! samahani kumbe ni Kinana,huyu ni jangili namba 1 anajaribu kujikosha mahakamani hajui mahakama za sasa sio xile za kuchakachua! Za kipindi kile cha kidumu chama cha matahira!

Huwa naona magari yanayokamatwa yakisafirisha bangi yanashikiliwa kwa kuhusianishwa na kosa hilo.Mimi si mwanasheria,hivi sheria inasemaje kuhusu hili?Pia kuhusu samaki wa magufuli ni kwa nini walitaifisha meli?Wanasheria tusaidieni

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Mtizamo nilio nao nadhani hilila kumpeleka msigwa mahakamani pamoja na kesi zote nyingine ni jitihada ya kubadili agenda.

CCM na wale wote ambao wamenufaika na mfumo fisadi hawataki topic iwe democrasia; hawataki topic iwe ufisadi. hawataki topic iwe yale mambo ambayo yanalalamikiwa na wananchi Tanzania kwa sababu ni mengi sana, yanakichafua CCM, na msemaji mkuu wa malalamiko hayo ni Chadema. Kwa hiyo kuinyamzisha Chadema ni kumaliza tatizo la malalamiko ya wananchi nchi iendelee kuliwa.

They are putting Chadema on the defensive kubadili topic kiaina. Ambacho hawajui ni kwamba Chadema si wale wanaoonekana tu. Utamfungia Msigwa, Utamfungia Slaa, watazuka wengine--pengine hata wakawa wakali zaidi ya hao mnaowajua.

CCM must go! One way or the other....
 
Billicanas kuna wauza unga tunawajua kwa majina. Je, hiyo inamfanya Mbowe awe accessory wa drugs pale club billicanas?

Uwe una jaribu kufikiri kwa mapana na marefu, sio tu unaleta ushabiki wako wa uchadema maana hauna tija yoyote, wewehumo humu unasema Msigwa simama imara, mwenzako yuko kikaangoni akisubiri kufilisiwa kwa hatia ya defamation.

Acha kufikiria kwa kutumia ------ wewe kijana,thibitisha hayo unayoyasema na yatafutie ushahidi then peleka mbele ya vyombo husika,serkari yako ingekuwa inayajua hayo kwa jinsi inavyomuwinda huyo mtu ingeacha kuyasema kweli??machizi kweli nyie
 
msigwa simama imara!

Ingawa mjadala wa kesi ya kinana na msigwa hapa jf ni contempt of court....niseme haya

1. Kwamba uzi wowote unaozusha mjadala huu unaweza kuwa 'dry run' kutafuta mawazo ya kumtoa mtu kwenye utata; yaani ni kumsaidia kinana kutoka kwenye kibano. Uzi unaweza kuanza kama "dry run." kutafuta njia za kukwepa tatizo. Wanakusanya mawazo.... Msigwa usiteteleke....

2. As far as i am concerned, zipo adhabu kwa mtu au taasisi yoyote ambayo inatumiwa kama "accessory" katika kutenda kosa. Kosa limefanyika. Pembe haramu zimepatikana. Kwa hiyo kama kinana ni mmiliki mkuu wa kampuni iliyotenda kosa hilo la jinai, yeye ni accessory katika jinai hiyo. Ana kesi ya kujibu.

Msigwa simama imara!
msigwa , dr slaa, heche wakikuchukia kama mwanaccm wanakuchukia kweli kama lema
 
msigwa , dr slaa, heche wakikuchukia kama mwanaccm wanakuchukia kweli kama
lema

Nataka nipunguze kuongea sana kwenye uzi niwaache na wengine waseme kitu, lakini hili natamani kulisemea jambo. chuki ambayo inaonekana sasa imetafutwa na ccm kwa sera ya ubabe. katika siasa ubabe unaitwa Machiavellian politics. Ubabe una nafasi yake, lakini huwa unakuwa na tija kama serikali ni safi.

CCM inafanya Machiavellian politics. Tatizo walilo nalo ni kwamba serikali wanayoiendesha ni chafu kama m.a.vi ya choo. Kwa hiyo wananchi tunashindwa kuona justification ya Machiavellian politics. Matokeo ni chuki ambayo inaenda kulipua nchi.

Hawa unaowataja, yaani Msigwa, Dr. Slaa, Heche na Lema ni wananchi kwanza ndipo wanakuwa Viongozi katika chama cha siasa. Chuki unayoiona msingi wake ni huo niliokuonesha. Ubabe wa CCM na Serikali yake kutetea uharo wao katika kuendesha nchi. Wenye chuki ni wengi Mkuu. Ngoja sasa niwaache wengine waongee.
 
Billicanas kuna wauza unga tunawajua kwa majina. Je, hiyo inamfanya Mbowe awe accessory wa drugs pale club billicanas?

Uwe una jaribu kufikiri kwa mapana na marefu, sio tu unaleta ushabiki wako wa uchadema maana hauna tija yoyote, wewehumo humu unasema Msigwa simama imara, mwenzako yuko kikaangoni akisubiri kufilisiwa kwa hatia ya defamation.
Kwenye maeneo mengi ya starehe kuna wauza unga, siyo club bilcanas peke yake; kote huko proprietors wanawajua wateja wao na biashara wanazofanya? Huwezi kumlinganisha Mbowe na Kinana katika hili suala.
 
msigwa failed on the pulpit he will also fail kizimbani. we all know that one is innocent untill proven guilty in a law of court. How could a politician, who has a learned and religious back ground like Msigwa endulge himself in the politics of heresy. yeye si ndiye aliyekuwa akiwaonya watu kanisani wasiseme uongo, uchochezi na kuleta mambo ya fitini na ni dhambi. Jamaani mbona Chadema ina viongozi wakidi waliongia kwemye siasa na ni waongo, wanafiki na wengine wazinifu, hili sio jambo la kushangaza...

ungeandika kiswahili mwanzo mwisho tu..yaani umechafua lugha ya malkia vibaya sana..kidogo nitapike,so pathetic.shule za kata hizi jamani
 
Billicanas kuna wauza unga tunawajua kwa majina. Je, hiyo inamfanya Mbowe awe accessory wa drugs pale club billicanas?

Uwe una jaribu kufikiri kwa mapana na marefu, sio tu unaleta ushabiki wako wa uchadema maana hauna tija yoyote, wewehumo humu unasema Msigwa simama imara, mwenzako yuko kikaangoni akisubiri kufilisiwa kwa hatia ya defamation.
we ni kuku kweli kweli hao wauza unga wana hisa hapo Bills ? tumia akili jangili lenu lina hisa kwenye hiyo kampuni ya kusafirisha meno hachomoki kwenye hiyo kashf
 
Chadema mnapenda sifa za kijinga sana nyie hii kesi lazima iwafirigise nyuma,hakuna mtu atakayethibitisha uongo wa Mchungaji wa nguruwe
 
Chadema mnapenda sifa za kijinga sana nyie hii kesi lazima iwafirigise nyuma,hakuna mtu atakayethibitisha uongo wa Mchungaji wa nguruwe


He! hivi kumbe FACTS za kesi ya Msigwa ni Nguruwe? Mi nilijua ni Meno ya tembo?! Kwani facts hasa ni zipi... siyo meno ya tembo?
 
Back
Top Bottom