Msigwa ndani ITV kipindi dakika 45

Msigwa ndani ITV kipindi dakika 45

kuna siku alisema gari la wagonjwa ilibeba pembe za tembo hapo Iringa mbona hakumtaja au ilikuwa siasa
 
Anaisifia tu serikali ya CCM kwa demokrasia na utekelezaji wake wa Ilani kwa upande wa Utalii...sijui Mbowe na Slaa na misukule yao Lissu Mnyika na Jambazi lema watamuita msaliti
 
moja ya watu ambao hawatakiwi kurudi bungeni ni msigwa. jumlisha sugu, prof maji mafupi, lema, kibajaji..... list inaendelea. tunahitaji watu makini mle ili nchi hii iende mbele.
 
moja ya watu ambao hawatakiwi kurudi bungeni ni msigwa. jumlisha sugu, prof maji mafupi, lema, kibajaji..... list inaendelea. tunahitaji watu makini mle ili nchi hii iende mbele.

Kweli mkuu watu makini kama wewe
 
huyu jamaa harudi bungeni 2015, hata makamanda wengi waliompigania 2010 hawako nae kabisa ni mbinafsi mno, anaungwa mkono na layman tu ambao ni wafuata upepo.sasa hivi anabebwa na na think tanks za chadema kwenye mikutano yake kama lissu, lema n.k, hawa kwenye kampeni 2015 sidhani kama watakuja kumsaidia iringa watabanwa kwenye majimbo yao.
Namshauri akae na makamanda wenzake hasa Chiku Abwao aliyempigania sana 2010 waunganishe nguvu.Umoja ni Ushindi
 
huyu ni moja kati ya wabunge wenye akil kubwA sana, ili jimbo la iringA atapita mchana kweupeeee, magamba endeleeni kutapatapa
 
Back
Top Bottom