Msigwa na Sugu kuunguruma Mafinga leo

Msigwa na Sugu kuunguruma Mafinga leo

Mr Dev

Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Ndugu wadau na wapenzi wa CHADEMA napenda kuwajulsha, kuwa mda huu nko on the way 2 Mafinga kwenye mkutano, Mshehereshaji mkuu n MCHUNGAJI Msigwa, P!
 
Wan jf leo mchana huu makamanda wawili wataaunguruma mafinga mjini ili kuuendeleza vuguvugu la mabadiliko nitawajuza kila kitu kinachojiri kwenye mkutano huo
 
Hawa kila siku kazi yao kuunguruma tu, sijui lini wataanza kutekeleza ahadi zao Iringa na Mbeya Mjini.
 
mkuu ile list ya wauza madawa ya kulevya mliyosema mnayo tayari 2010, mmeshaishughulikia??? Zile pesa za EPA zimerudi sh ngapi ni ngapi mmepeleka kutengeneza madawati?? hivi Kigoma imeshakuwa dubai?? Hongereni kwa kutengeneza ajira milioni 2 Kila mwaka, Hao wachina waliojaa hapo dar wanauza vitunguu swaumu hapo kariakoo, na hao wanaoiba umeme wa tanesco kwa viwanda uchwara ndio faida za safari 380 mlizofanya ndani ya miaka 7?? KWELI KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, HONGERENI KWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NA ELIMU TUNAONA BIDII ZENU. WASALIMIE WAKINA KALAMAGI NA DANIEL YONA NA MRAMBA!!
 
Naona wewe mkali kweli, maana umeunguruma kinoma...
 
Hawa kila siku kazi yao kuunguruma tu, sijui lini wataanza kutekeleza ahadi zao Iringa na Mbeya Mjini.

Labda kwa Mfano wewe unachukizwa na huu mkutano kwa nini sasa?
Hutaki watu wa mafinga wasikie nini?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
safari njema mkuu MUNGU akulinde ufike salama upate chakula ya ubongo!
 
Mimi niko tukioni mida hii, kumeshona kinoma, yaani utafikiri watt wamekuja kulipwa mishahara
 
picha please.......matomaso wa chadema pia tupo....
 
Hawa kila siku kazi yao kuunguruma tu, sijui lini wataanza kutekeleza ahadi zao Iringa na Mbeya Mjini.

ze kihiace mshauri dhaifu atekeleze ahadi zake.... mwenye list ya ahadi za mr. farst jet aiunge kwenye bandiko langu tafadhali.........
 
Labda kwa Mfano wewe unachukizwa na huu mkutano kwa nini sasa?
Hutaki watu wa mafinga wasikie nini?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
wananchi ndio wanaingia kwa wingi dhidi ya propaganda ya magamba wakiwatisha wanannchi kwamba yale ya nyololo yatatokea
 
ahsante mkuu lete neewz za uhakika na picha ..
 
Ndugu wadau na wapenzi wa CHADEMA napenda kuwajulsha, kuwa mda huu nko on the way 2 Mafinga kwenye mkutano, Mshehereshaji mkuu n MCHUNGAJI Msigwa, P!

Nenda kalishwe Sumu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
jibu hoja marcopolo unafiki wako huu hauna maana.

Yaani kuwakumbusha wabunge kutekeleza ahadi imekuwa unafiki?!!!

Wasione vyaelea vimeundwa. Kushinda muhula wa pili ni tofauti na wa kwanza, watu wataulize wamefanya nini?
 
Back
Top Bottom