PreGE2025 Msigwa: Mihemko imekuwa mingi, uhamasishaji wa kijinga Mitandaoni umekuwa mwingi, Vijana mjitazame

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

Mjinga wewe msigwa usikie hili tusi humohumo kwenye hiyo clip unamo ongea huo ushuzi wako.No reforms no election imekuwa makosa ya kimtandao
 
IMG-20250611-WA0033.jpg
 
Huyu ni miongoni mwa mashetani. Hakuna shetani mwenye faida kwa mwanadamu.

Angekuwa ni mwanadamu, mwanadamu mwenye utashi na akili, kabla ya kuongea huo ushenzi, alitakiwa aseme kama sheria zetu zinaruhusu watu kitekwa na kuuawa wakimkosoa mtawala.

Huyu apuuzwe. Vitisho vyake kamwe havitatufanya tumpigie magoti shetani.
 
Back
Top Bottom