Ndio uhame sasaHuyu jamaa anatoa kauli za maajabu sana leo fyokofyoko, kuhakiki, Sukari, bandari, mishahara hewa na kuhamia dodoma lakini hakuna hata moja la maana alilolifanya. Huyu anatupotezea muda tu lakini nchi hii ipo taabani.
Hajawahi kuongea ukweli huyo na hata wezaKwakuongea kweli
Huyu naye kaona hapo ndio pakutokea !!
Kwanza anakumbuka kauli zake
"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
Alisha kwenda kupimwa mirembe huyu
Lowasaa amekukaaa !
"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
Wewe uendeee dodoma n'a buku7 wenzakoNdio uhame sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa wa mvi nyingii anaeza akanunua kwa hasira mkuu.. anagalau na yeye anakua ametimiza ndoto yake ya kuingia ikulu...Hahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?
Mh! Sijui umepatwa na kwikwi poleWewe uendeee dodoma n'a buku7 wenzako
Hahahaaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa wa mvi nyingii anaeza akanunua kwa hasira mkuu.. anagalau na yeye anakua ametimiza ndoto yake ya kuingia ikulu...
a Quote by Anonymous!!
""If you cant win it, Buy It..!!""
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Jibu swali nakuuliza kwa umri wako huo ni lini umewacha kuchapwa?Wanaochapwa ni nyie washika UKUTA.
alimfisadi mama yako?funguka mkuu au mpelekeni mahakamani hilo ndio jibu .Hahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?
Hawana hiyo uwezo..Wacha tuwachape maana
Wanataka kutupeleka Watanzania hovyo
Kama kaptula zao
Nyie ndio mnahanya hanya tusiwashikishe ukutaHehehe
Unaota wewe
Watanzania !!!
Nyie SHIKENI HUO UKUTA WENU
"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
Mbona wewe ulipo hujapimwa baadoMimi siwezi kukaa na kumsikiliza Msigwa mpaka akapimwe kwanza akili kwa kumsapoti Lowassa.
Nimemaliza.
Bavicha tu wamewatoa jasho mezunguka Dodoma NzimaHawana hiyo uwezo..
Wako choka mbaaya..
Wamelazwa ICU wanapumulia mashine.. Bosi Magu akizima jenereta tu na roho byebye..
Wanasumbuliwa na lile liugonjwa baya kinooma linaitwa
""Kuweweseka_nishike_wapi..""
Gonjwa ambalo hata dawa za kienyeji za mchina zenye zaidi ya miaka elfu sita duniani hazina uwezo wa kutibu..
Wenye akili tushawaandalia mbao za jeneza...
Madalali wajanja mjini wako mguu sawa timamu kwa kupiga mnada mali za marehemu mtarajiwa, yatima wakagawane urithi..
Jamaa wanakufa kifo cha ghafla kweli kweli mpaka wanashindwa kuamini japo walijitakia wenyewe..
Umepatamo nafuu mkuu??Naona Mnaweweseka baada ya kugundua watanzania wamewashtukia kwenye maigizo yenu
Nyie ndio mnaoweweseka tusiwashikishe ukuta na lazima mshike tuWanaochapwa ni nyie washika UKUTA.
Wanaoweweseka ni nyie mpaka mevunja kanuni na sheria mlizoziweka wenyewe ya vyama vingi... teh..teh...tehUmepatamo nafuu mkuu??
Naskia huu ugonjwa wenu unaoitwa:
""Kuweweseka_nishike_wapi""
hauna tiba..
Pole sana we jamaa.. tunakuoneaga huruma sana sema ndio hivyo gonjwa lenu kama ngwengwe... halitibiki..
Na balaa zaidi ni hereditary.. mmeambukizana woote wenyewe kwa wenyewe..