Msigwa alisomea wapi uchungaji?

Hili jamaa boya sana...juzi kati alipokuwa bongo nilisafiri nae kwenye hivi vindege vidogo kwenda sehemu fulani ya Tz,niligundua Lukosi ni kiazi sana
 
Mh.mchungaji msigwa alisomea uchungaji south Africa.

Mla rambi rambi za mwangosi acha wivu wa kike na chuki binafsi kwa mh.mchungaji msigwa....jimbo la iringa mjini utaendelea kuota tuu
 
Mi najua alikoosomea bt nothing goes for nothing nipe sababu za wewe kutaka kujua alikosoma Mch Mb Mh Msigwa
 
Maana yangu ni kuwa kuna vitu silazim a ukavisomee ikiwemo uchungaji na ualimu.
Astaghafiruallah! unawafananisha hawa Watukufu na huyu muhuni ama kweli "kukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni" kafanye toba haraka kabla ya jua halijazama.
 
mwizi wa rambirambi boksi unapigaga saa ngapi sababu mda wote umo humu unarusha pumba hewani!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hili jamaa boya sana...juzi kati alipokuwa bongo nilisafiri nae kwenye hivi vindege vidogo kwenda sehemu fulani ya Tz,niligundua Lukosi ni kiazi sana
Ulisafiri na mimi au uliniona tu nikipita airport?
 

alikua akitembea na biblia mkononi akupiga kelele bara barani maeneo ya sokoni na posta mpaka akapata kondoo wa kumsikiliza akapanda cheo na kuwa mchungaji...siku hizi ukitaka mke wa mtu basi kuwa mchungaji
 

Bro usitafute umaarufu hapa.Kama siasa huwezi karibu kuvua samaki huku nyasa.
 

hivi we we ni mkristo au una jina la kikristo?
 
"watanzania hawatamchagua mtu kutokana na dini yake,kabila lake wala mahala anapotoka" mwl nyerere...we unataka kutupeleka wapi???????????
 
NI kichaa tu,
NDIE ANAYEWWZA KUHOJI MATOKEOA KAMA HAYA.
INGEKUA VIZURI KAMA UNGEBAISHA NI KIPI ULICHOKISHANGAA KWAKE. MSIGWA PASTOR NA MBUNGE NI KATI YA WANASIASA WENYE KARSIMA YA KIPEKEE KATIKA TANZANIA,WW ENDELEA KUBEBA BOX
 

Wewe ulipata wapi ujasiri wa kula hela za rambi rambi ya Mwangosi? Na umepata wapi mamlaka ya kukusanya rambirambi za Mabina?
 


JITAMBUE NDG!!

Ndio maana nasema akili zako ziko nyuma ya mwili!

Hoja ni ipi hapo?

Ulikua Kikosi cha MIZINGA nini?!
 
Maana yangu ni kuwa kuna vitu silazim a ukavisomee ikiwemo uchungaji na ualimu.
Hawa watukufu walisomeshwa kupitia ROHO MTAKATIFU na kwa waislamu wanasema MALAIKA JIBIR. Sasa huyu muhuni Msingwa naweza kushukiwa na Roho mtakatifu au Malaika Jibir ambaye kwa sasa hashuki tena ameshamaliza kazi yake. Kijana chunga sana usiwalinganishe watukufu na muhuni.

 
Pumba kabisa- Yesu alisomea wapi Uchungaji?

Ushindwe na ulegee in JESUS name.....tubu hiyo dhambi ya kumfananisha YESU na maharamia wa Imani kabla mwaka huu 2013 haujaisha.
 
Swag za malaria sugu hizi.

Very creative kwa hoja nyepesi lakini chokozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…