PostGE2025 Msigwa aikana kauli yake ya 'miradi inajengwa kwa pesa zetu'. Asema imefanyiwa 'Spinning'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
One-on-one kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, Katika mahojiano hayo, Gerson Msigwa amesema moja ya kauli zake aliyowahi kuitoa hivi karibuni kuhusu Serikali ya Tanzania kujenga miradi kwa fedha zake imepotoshwa. Ameeleza kuwa hakumaanisha ilivyochorwa au kusambazwa na baadhi ya watu, akisisitiza kuwa kauli hiyo imefanyiwa spinning.

Spinning ni nini?

Kauli ya mtu inachukuliwa,Inapindishwa au inapewa mwelekeo tofauti,Kwa lengo la kuibua tafsiri inayomnufaisha anayeisambaza au kumharibia sifa aliyesema.
 
Dah' huyu brother...

Kama Boss wake ana muona mtoeni kwenye hiyo nafasi haimfai...
 
Mbona hamna sehemu aliyokana ila kafafanua
 
One-on-one kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, Katika mahojiano hayo, Gerson Msigwa amesema moja ya kauli zake aliyowahi kuitoa hivi karibuni kuhusu Serikali ya Tanzania kujenga miradi kwa fedha zake imepotoshwa. Ameeleza kuwa hakumaanisha ilivyochorwa au kusambazwa na baadhi ya watu, akisisitiza kuwa kauli hiyo imefanyiwa spinning.

Spinning ni nini?

Kauli ya mtu inachukuliwa,Inapindishwa au inapewa mwelekeo tofauti,Kwa lengo la kuibua tafsiri inayomnufaisha anayeisambaza au kumharibia sifa aliyesema.
Msigwa ni mpumbavu sana amekuwa chawa kiliko machawa wenyewe.
 
Msikute Msigwa anatumia 🆔 ya Lucas humu.
 
Hahahahah elewa neno imefanyiwa Spinning maana yake si kauli yake imefanyiwa uhariri, kwa lugha rahis ameikana
Spinning maana yake video imekatwa kuficha maneno ya awali au baada , na siyo kwamba siyo kauli yake.
 
Ona hii pimbi, vile wao hawana akili ni mazezeta, wanadhani watz wote ni mazezeta.
 
Mbona hamna sehemu aliyokana ila kafafanua
Kafafanua nini hapo? Alisema miradi ni pesa za ndani hapo hapo kasema ni mikopo which is which?

We naye ushakuwa kama liroboti fulani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom