Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,288
- 2,438
Chadema wasipo msima misha Nyarandu kugombea jimboni kwake Singida, ndipo nitaamini wao hawanunuiKununuliwa si lazima kutolewe pesa. Hata ahadi ya kugombea tena ama "kutatuliwa" shida zao nako pia ni kununuliwa!!
[HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] alishanunuliwa na acacia tayari ndo maana akawa mtetezi namabari one wa wezi wa madini.Kama CCM tu inawanunua itakavyo tukiwapa Nchi si mtanunuliwa na Wazungu? Maana mnapenda kununuliwa
Na huo ndio ukweli hakuna mtu mwenye akili timamu kabisa asiye na njaa akahamia ccm , wooye wanao hamia ccm kwa sasa kuna mambo mawili kama sio matatu kwanza rushwa na hilo lipo bayana na ushahidi upo wawazi,pili tamaa ya kupata nafasi au vyeo na hasa baada ya kugundua hulka za mgawa vyeo, tatu unafiki na kujipendekeza kwa serikali nankutafuta huruma ya serikali , maana kuna watu wakiwa upinzan au baada ya kuhamia upinzani biashara zao zinafungwa na bidhaa zao zinapigwa marufuku na serikali kuuzwa hivyo wanaona bora warudi ili wapate mbeleko ( kuogopa visasi) nje na hapo tunadanganyana,Kila anaehama wanakwambia kanunuliwa!
Majibu mepesi mepesi tu!
Ukiona mtu anatoa michango ya namna hii ni dhahiri kabisa huyo mtyu kichwani hana elimu yeyote aijuayo kuhusu elimu ya uraia ,kwa maana nyingine hajasoma kabisaaWaondoke tu
Mbona mm siyaoni hayo makuu anayoyafanya huyu Magufuli?Ni Kweli kuwa Mh Magufuli kwa sasa anafanya mengi makuu na kujali kodi za wananchi ila tukumbuke kuwa Muda wake ukiisha tunaweza kumpata mtu mbovu kabisa. Bila vyama hivi vya Upinzani tutarudi kule kule kwenye makashfa makubwa.
Chadema iko mioyoni mwa watu, chadema ni imani ya watu na chadema ni sehemu ya maisha ya watu kwa sasa. Ni makosa makubwa kuilinganisha chadema ya leo na NCCR ya wakati ule maana NCCR ilikuzwa na mtu, alipohama NCCR ikafa.[HASHTAG]#Itakuwa[/HASHTAG] ni Kujidanganya kabisa kama bado utaamini kuwa Chadema ya Sasa itaweza kudumu kwenye siasa kwa miaka mingine 2 ijayo. Yaani kufikia 2020 Chadema itakwa hoi bin taabani kama hali ya mambo itaendelea kiwa hii ninayoiona.
Chadema ni mpango wa Mungu hakita kufa kamwe.Watajua baada ya upinzani kufa na kubakia kuendeshwa jinsi watu wapendavyo ndipo watakugutuka hakuna wa kusemea tena ubaya wowote akiumizwa mwananchi kimya, haki ikiporwa kimya...
Ndipo.kilio na kusaga meno kitakapoanzia.. mwenye akili na aanze kujitafakari..