Msichana yupi ni bora kati ya hawa?

Msichana yupi ni bora kati ya hawa?

Kweli mkuu miaka 10 mtu hata kwao hujulikani kuna mapenzi hapo amechoka jamani miaka 10 anacheza kwaito za wenzie
Kibaya zaidi ni akichukua ushaur wa kumuacha huyo wa miaka 10 aisee,yan upoteze miaka kumi na mtu af akuache,yan hata ukimroga Mungu anakubariki tu
 
Achana nao, mbona huku kuna wengi wenye tabia nzuri, Demiss atakufaa sana!
 
Na kwanini miaka yote hiyo hakuona madhaifu yake?
Huyo wa pili kama alimuweka wazi kuhusu tabia aliyonayo mpenziwe wa kwanza, huyo wa pili ni dhahiri kabisa kupretend kama lengo lake ni aolewe yeye wa kwanza aachwe..
Mara nyingi weakness ya mtu ndo ushindi kwa mwingine.
Na ndo kosa kubwa hili,hehehe ukitoa madhaifu ya mwenzio kwa mchepuko,lazima mchepuko upretend tabia unazozipenda
 
Kibaya zaidi ni akichukua ushaur wa kumuacha huyo wa miaka 10 aisee,yan upoteze miaka kumi na mtu af akuache,yan hata ukimroga Mungu anakubariki tu
Yaan Mungu anapokea kwa mikono miwili eti akuache kakupotezea mda miaka 10 anakuja kumuoa mtu mwingine hata mwaka hawamaliza huyu mwanamue asubili tu kuuliwa huku anajiona
 
Yaan Mungu anapokea kwa mikono miwili eti akuache kakupotezea mda miaka 10 anakuja kumuoa mtu mwingine hata mwaka hawamaliza huyu mwanamue asubili tu kuuliwa huku anajiona
Laana zingine mtu unajitakia tu
 
Ni hivi mkuu hata ningekuwa mm ningetoa mapembe...... maana hueleweki unanioa au laa! miaka yote hiyo khaa! achautani wewe......Usicheze na hisia za mwenzako bana, sasa hivi ndo unagundua anakiburi siumekileta wewe.

kakuvumilia miaka yote hiyo ndo unamtoa kasoro.... hebu uliza hata hao walio owa wana miaka kumi kwenye ndoa usikie makasheshe yaliyomo na wakati kipindi cha uchumba walikuwa na tabia za kulizishana mpaka kufunga ndoa narudia aaacha utani!.

Angekuwa dada yako ndo anafanyiwa hivyo ungejisikiaje? bro..... aisee inauma ataungekuwa wewe.

Hebu nahuyo uwenae miaka kumi, kama haja kuchoka na utaokota mapungufu yake tena nizaidi ya kiburi cha huyo dada.

Ipo hivi uchawi upo........ na waganga wapo so take care!.......na ushauri unaopewa na maamuzi yako!!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom