Ni kuwafundisha vijana wamheshimu dada wa kazi, hata hivyo akishaanza matibabu na kuwa katika indictable status, chances za maambukizi zitakuwa ni ndogo sana.Na kama una vijana ndiyo wana balehe hapo kwako yaani teenagers ni heri umrudishe tu hata kama ataanza dawa.
Pole sana mkuu njoo om tuwasiluane nitakypa mwongozo mzuri sana wa kinesiska huyo binti na kupona kabisaHabari wakuu, nina miez miwil toka nimchukue huyu binti wa kazi ili anilelee mtoto wangu mdogo, ila toka kafika ni mtu ambaye homa hazimuishi kuumwa kila siku....
juzi nikampeleka marie stopes, dr akanishauri nimpime na kipimo kikubwa. Majibu yakatoka kaathirika nililia mno kwanza sikuamin!!! nilimuhurumia ndiyo kwanza ana miaka 14, hata akili zake bado za kitoto.....jana nikachukua watoto na mdada mwingine ambae nipo nae muda mrefu nikawapima wapo salama.
Nilichokifanya nilimficha majibu, nikamuambia umekutwa na typhoid tu maana alikua nayo kweli, ninawaza sana je nimrudishe kwao,? Angekua ndugu yangu ningemrudisha?
Nafikiria risk kwa watoto wangu hasa haka kadogo yaan sielewi, naomba Mungu anisaidie niweze kufanya maamuzi sahihi.
Mungu Atakuongezea zaidi,kua mdau muhimu wa maisha yake na Tunakuombea katika hiloNashukuru kwa ushauri wako, ila mimi nahofia usalama wa mtoto huyu mdogo sababu yeye ndiyo anacheza nae, kuna kuumia wakicheza....mtoto anaeza mng'ata, simnyanyapai hapana!!! Nimeingiwa na uoga tu, angekua ni binti mkubwa kidogo ningeweza hata kuongea nae....ila hata kama ntamrudisha nahaidi kumfanyia msaada wa kufuatilia afya yake.
Unawezaje kumpima mtu vvu bila ridhaa yake?!Mimi sinaga hata utamaduni huo ,ngoja nianze na hawa nilionao kwa sasa. Asante dada yangu kwa ushauri
Kama ni kweli umeamua kumsaidia huyu mtoto, unaweza kuchukua likizo ya wiki mbili ukae na mtoto wako wakati dada anaanza matibabu. Akishakuwa na undetectable status chance ya kumuambukiza mwanao itakuwa ni ndogo sana.Nashukuru kwa ushauri wako, ila mimi nahofia usalama wa mtoto huyu mdogo sababu yeye ndiyo anacheza nae, kuna kuumia wakicheza....mtoto anaeza mng'ata, simnyanyapai hapana!!! Nimeingiwa na uoga tu, angekua ni binti mkubwa kidogo ningeweza hata kuongea nae....ila hata kama ntamrudisha nahaidi kumfanyia msaada wa kufuatilia afya yake.
Unamueleza kuwa ni part ya terms and conditions za ajira, hataki asepe.Unawezaje kumpima mtu vvu bila ridhaa yake?!
Labda awe mdg lkn mdada au mkaka anayekula uroda atatafuta kazi sehem nyingneUnamueleza kuwa ni part ya terms and conditions za ajira, hataki asepe.
Mkuu kwani binadamu wamekwisha duniani?Labda awe mdg lkn mdada au mkaka anayekula uroda atatafuta kazi sehem nyingne
NdioMkuu kwani binadamu wamekwisha duniani?
Moja ya kipengele cha mkataba...Niliweka thread hapa juu ya umuhimu wa kucheki afya za wadada na wakaka wa kazi kabla ya ajira.
huyuuu alikuuliza tyu hivi maana sisi wavulanaKampitia, umefurahi??? Mijitu mingine sijui ipoje...vitu vya huzuni unaongea upumbavu