kwanini mkuu?kazi unayo
ni kweli nataka kuoa mkuu ila huyu ndo simuelewi sijui wanawake huwa hawapendi kushikwa kiuno.unataka kuoa kweli au ndo maneno yetu vijana
mkuu kumshika kiuno ndo kitu napenda sana. Mkono wala hakataiMkuu mshike hatq mkono tu
mbona unaongea kwa code, vingine kama nini funguka!Kama kiuno anakuzuia kushika vingine unapewa kweli? Nawaza tu kwa sauti
hivyo napewa mkuu japo mara moja moja unajua tunatarajia kufunga ndoa tena.Kama kiuno anakuzuia kushika vingine unapewa kweli? Nawaza tu kwa sauti
Muulize Kwa Nn Apendi? Jibu Lake Ndio LA Kukupa Waswas Au Amani.Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
una miaka mingapi??? ivi kama unawaza haya utakua na habari kwa yaliyotokea juu ya MCC kweli?Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Kumbe wewe ni ke mkuu?binafsi nikishikwa kiuno najisikia comfortable sana, napenda
afadhali weye sasa huyu mwenzio ndo simuelewibinafsi nikishikwa kiuno najisikia comfortable sana, napenda
Anatekenyeka kama wewe ukishikwa kwenye miguu huku chini!labda anatekenyeka
kiunoKiuno au tako...?