- Thread starter
- #21
Bado napokea maombi kabla ya kuyachambua na kupata mtu sahihi. Kwa wale wote mnaojifanya kunifundisha vile mnavyotaka nifanye, NIWAPE TU USHAURI kwamba sikuleta andiko hili hapa kuomba mawazo yenu BALI mimi nimeleta Tangazo la nafasi ya kazi. Kwa msingi huo, ni jukumu la mtu anayehitaji kuona kama ana meet requirements na kukubaliana na offer yangu, then, awasiliane na mimi. Kwa wale mnaofikiria kwamba offer yangu iko chini, napenda kuwajulisha kwamba NAFAHAMU ninachofanya na zaidi ya yote nina ubinadamu kuliko wengi wenu. Hapa sio mahali pa kuweka kila kitu, kwani sio wote wanaohitaji kazi kwa nia ya kufanya kazi, bali wengine wanatumia nafasi kama hizo kwa malengo mengine. Kwa ufupi ni kwamba mimi nimetoa nafasi ya kazi, nimeweka vigezo, na nimeweka offer yangu; kwa yeyote atakeyoona anakidhi vigezo na anahitaji hiyo kazi, basi awasiliane na mimi. NARUDIA TENA, ni jukumu langu mimi kutambua vigezo nitakavyotumia kupata mtu sahihi, na hilo ni jukumu langu mimi muhitaji na si lenu. Ahsanteni kwa kunielewa.