Msichana wa Mshikaji wangu anafanya Night Club kama muuza mwili

As long as she is not into sex, that is fine... so if she does lap dancing and teasing those pervs i wouldn't dis own her! mbaya akifanya escot akawa analala nao sasa hiyo ni shughuli nyingine!:sorry: no really man can accept that!
 
maisha gani haya jamani?:yuck:


mmh mamito upo.... long time no see.... mpaka nilianza kuulizia kama umetupwa sero nikutafutie wakili... but from the luk of u r new avatar... well u see healthy... breathing and kicking...
 
haki ya mama ushauri wako nguvu za giza demu akishazoea kukunwa na wanaume lukuki huo ni ugonjwa wa moyo.....Kimbia fasta ......bora nini? paper au maisha .......wewe uliemwombea mshkaji ushauri huu mzigo unatakiwa uangalie namna ya kuubeba kwa muda kwani sote ni washkaji. Mpe jamaa hifadhi wakati anasikilizia, lakini so kumtumbukiza kwa malaya anaeuza mzigo night club...........mimi binafsi hapo kipindi cha nyuma nimekula malaya wa aina zote rangi zote, K aina zote na nimewapindua style zote nazotaka. Ndo maana naandika kwa hisia kali ..JAMAA AACHANE NA HUYO CHANGU....KWANI KATIKA MAISHA SIKU HAZIFANANI ...NA IKITOKEA SIKU JAMAA UCHUMI HAUSOMI VIZURI BASI AJUE MAMA ANARUDI KUUZA MZIGO. KUM-MAINTAIN MTU ALIYE NA HISTORIA YA KUUZA K NI KAZI KUBWA TENA SI YA KITOTO
 
Alternatively, mfuate NIGHT club katafune kitumbua fasta then urudi mezani uendelee na usuluhishi, maana utakuwa umeshajua value halisi ya demu ambaye jamaa anataka kumuacha....by the way utaendelea kujitafunia taratibu buree baada ya jamaa kuoa ( endapo utafanikiwa kumshawishi jamaa aoe).
NB: ushauri huu ni kwa faida yako, si kwa faida ya jamaa! Manake jina lako linafanana na jamaa zetu wanaotokea upande fulani wa TZ ( ndugu zake na Ishomire)
 

i want to get this straight ...
kwa hiyo unachotaka kusema kila msichana anaye fanya kazi night club hana haki ya kuolewa???
 
Aisee afrodenzi uko active sana humu ukumbini maana umejiunga mwezi huu wa kumi na moja na tayari una mabandiko zaidi elfu moja. Hongera zako...
 
Aisee afrodenzi uko active sana humu ukumbini maana umejiunga mwezi huu wa kumi na moja na tayari una mabandiko zaidi elfu moja. Hongera zako...

asante sana Nyani Ngabu......
siunajua tena JF ilivyokuwa addictive lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…