Huo uchafuzi utakuwa umefanywa na waingereza?SIFA
Umri: miaka 18-22
Awe anajua kuongea kiswahili na kingereza.
Awe anaishi maeneo karibu na Kariakoo.
Awe msafi na mchapa kazi.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAREHE 30/06/2017.
OFISI IPO MAENEO YA KARIAKOO,
MAWASILIANO PIGA +255 22 2181357
Wewe una mtoto mdogo utasumbua watu!Mimi nipo namba yangu 0621 009840 ila niko tmk
Lugha ya malikia Elizabeth kwenye usafi ni ya nn?Itakuwa kweli ni tangazo la kweli maana umeweka namba za TTCL (ya mezani) ila sasa sijaelewa usafi tu ndio hadi ajue na Kingereza!!!
Itakuwa kweli ni tangazo la kweli maana umeweka namba za TTCL (ya mezani) ila sasa sijaelewa usafi tu ndio hadi ajue na Kingereza!!!
Namuacha ameshakuwa huyo ana miaka miwiliWewe una mtoto mdogo utasumbua watu!
Sema mnatafuta Housegirl. Kama ni usafi kuna kampuni nyingi tu za usafi nendeni mkaandikishane mkataba mpewe wafanyakazi kadri ya mahitaji yenuSIFA
Umri: miaka 18-22
Awe anajua kuongea kiswahili na kingereza.
Awe anaishi maeneo karibu na Kariakoo.
Awe msafi na mchapa kazi.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAREHE 30/06/2017.
OFISI IPO MAENEO YA KARIAKOO,
MAWASILIANO PIGA +255 22 2181357
MFANYA USAFI AJUE KIINGEREZASIFA
Umri: miaka 18-22
Awe anajua kuongea kiswahili na kingereza.
Awe anaishi maeneo karibu na Kariakoo.
Awe msafi na mchapa kazi.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAREHE 30/06/2017.
OFISI IPO MAENEO YA KARIAKOO,
MAWASILIANO PIGA +255 22 2181357
Ha haaa not fair kabisa. Na mbunge awe amemaliza std 7MFANYA USAFI AJUE KIINGEREZA
MKUU WA MKOA AJUE KUSOMA NA KUANDIKA
TUNAIKARIBIA TANZANIA YA VIWANDA
Ebu nitolee shobo ukitaka niandike hivo si ungeanzisha uzi wako, na unadhani hizo kampuni sijaziona au? hii ni fursa kwa wote atakayeguswa ataomba..si kila uzi lazima uchangie!Sema mnatafuta Housegirl. Kama ni usafi kuna kampuni nyingi tu za usafi nendeni mkaandikishane mkataba mpewe wafanyakazi kadri ya mahitaji yenu
Achana nao mpenzi,wala usiwajibu.Ebu nitolee shobo ukitaka niandike hivo si ungeanzisha uzi wako, na unadhani hizo kampuni sijaziona au? hii ni fursa kwa wote atakayeguswa ataomba..si kila uzi lazima uchangie!