Msichana wa kazi

Uniquegal

Member
May 3, 2014
19
45
Nahitaji msichana wa kazi nipo Dar ambaye ni muadilifu atakayekwenda na mimi kanisani, niko na mtoto mmoja.Mshahara wangu ni 70,000 namba yangu ni 0762071092
 
Balacuda

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,391
2,000
Nahitaji msichana wa kazi nipo Dar ambaye ni muadilifu atakayekwenda na mimi kanisani, niko na mtoto mmoja.Mshahara wangu ni 70,000 namba yangu ni 0762071092
Msichana wa kazi hatafutwi mitandaoni utaleta nemesis kwako kuja kuamka too late. Nenda huko vijijini unakotokea uwe unapajua kwao na ikibidi baadhi ya watu wanafahamu hata wazazi wake itakusaidia vinginevyo anything, any theory is possible kuanzia mauaji, ujambazi, kulipiza kisasi na unyama wa aina yoyote. Yeye anakuwa anatoka mahala alishaumizwa, mwingine unakuta ni kahaba aliyejificha, anaweza kutafasiri vibaya ishara yoyote akajua ndio yale yale akaamua kulipa kisasi
 
Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
548
1,000
Nahitaji msichana wa kazi nipo Dar ambaye ni muadilifu atakayekwenda na mimi kanisani, niko na mtoto mmoja.Mshahara wangu ni 70,000 namba yangu ni 0762071092
Nenda kanisan kwa Dar Peter Mitimingi pale mbezi beach kituo cha Rafia wapo wengi bei hiyo 70.000
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom