Msichana ninayetaka kufunga naye ndoa

Inaonekana uliingia na gia ya kumpenda ili umuoe sasa ni wakati wake wa kukupima kama kweli ulimmaanisha au longolongo. Inabidi tu ulinywe kaka ulilikoroga mwenyewe. Chochote utakachokutana nacho huko kwenye ndoa ndo ile for better for worse...na YES I DO
 
Back
Top Bottom