Msichana ninayetaka kufunga naye ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msichana ninayetaka kufunga naye ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kwamtoro, Mar 11, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Nataka kujaribu (kufanya nae mapenzi) amenikatalia. Ninampenda, nifanyaje?
   
 2. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Be patient! kama kweli unataka kumwoa usiwe na pupa. Lakini lazima uwe makini, usije kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Inawezekana hataki kukupa wewe, lakini kuna masela wanamega kinoma. Jaribu kuchunguza mkuu!!
   
 3. g

  geophysics JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Una umri gani maana nalenyewe ni muhimu kabla ya kushauri.
   
 4. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Ameniambia mpaka tufunge ndoa. Nimemuuliza mara nyingi, yeye bikira, amenijibu hapana. sasa tatizo nini, aniielewi.
   
 5. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280


  Umri usikupe tabu, mimi ni mtu mzima.
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Too short to be understandable.
  Mmefahamiana lini??
  Mnajuana kiasi gani??
  Mmepima??
  Unampenda kwa malengo gani??
  Kama anasoma atashiriki vipi mapenzi???
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  amechoka kuchezewa.
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  subiri wakati ufike ila huwa ni bora uonje kwanza maana kuonja ukisha oa na akawa sio mtamu na ndoa umeshafunga utafanyeje sasa!
   
 9. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  husninyo angalia hapa chini uone!!

  The Following User Says Thank You to Husninyo For This Useful Post:

  Susy (Today) ​
   
 10. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Vuta subra, acha tamaa mkuu! Kama unahamu sana fanya mazoezi ya mwili wako utajisikia fresh. Subiri hadi umuoe utamfaidi sana
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ukifunga naye ndoa hicho unachokitaka sasa hivi si utakipata shida nini sasa be patient
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  waoooh!
  Meno thelathini na nje yote mbili.
   
 13. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Safi sana, huyo binti namsifu sana, ikibidi kukukubalia basi inatakiwa kuwa wiki moja kabla hamjafunga ndoa. Hapo atakuwa amehakikisha msimamo wako kwake.
   
 14. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha ha haaaaaaaaaa!! Husninyo bana!!
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Susy hivi si ulisema unataka mtoto vile l.o.l
   
 16. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #16
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Vumilia tu kaka labda hata aliyemkubalia mwanzoni akiwa na bikira alimuahidi ndoa kwahiyo kajeruhiwa,jaribu kutafiti zaidi.
  Ila wakati ufaao ukifika(kuwa mkeo) mbona hutalalamika,jenga msingi imara sasa ili akuamini
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,645
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  huyo ndo Husninyo mwengine fotokopi

  Susy habari yako binafsi...
   
 18. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapa kuna ajenda imejificha, hivi mkuu shida yako kumtaka huyo dada ilikuwa uzinzi au ndoa :shock:??? Kama uzinzi tafuta vyangumadoa ila kama mke huyo ndie anayefaaa!!!!
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mmmh! Unaongea kama unamfahamu husninyo.
   
 20. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  wewe unataka kununua mbuzi kwenye gunia? ukikuta paka?
   
Loading...