Msichana ninayemsomesha ananisaliti

hutapona huo ugonjwa kwakuwa unapenda kulipa kisasi,dawa ta huo ugonjwa wako ni kubadili vigezo vya kutafuta mwanamke na uwe mvumilivu na usipende visasi
 
Hadithi chafu ni ishara ya mwisho wa dunia.
Unakaa na mwanamke bila kumuoa
Ana mwanamme mwengine na wewe unamjua na unaendelea kulala nae
unafanya zinaa kwa dada na mdogo wake.
Uchafu mtupu.Bila kukuuliza nimeshajua dini yako.
 
Kama hujarogwa una matatizo haya wanaita afya ya akili.
 
Mchumba wa kike/ demu / mwanamke kwa namna yake na mwonekano wake hasomeshwi hata iweje, bali anapewa zawadi ya mimba

Sasa shauri yako
 
This girl has turned into a professional prostitute. Bado namla mdogo wake and we are open to her. Aliniambia she wont be happy hadi aone nimeachana na mdogo wake, alijaribu kufosi awe mchepuko and we did it once akaja kufanya ujinga mmoja nika turn off comoletely sijui nikitaja nitakua nimefungua code ila ngoja niseme tu.
This girl amekuwa wale wa niko location akasahau badala ya kumtumia mwanaume akashare status. Nashangaa dogo asubuhi ananiuliza umeona video za dem wako, kucheki keshazifuta ila mm natumia gb whatsap hivo nlizidownload nikatulia nazo definately alikuwa barely naked akikata viuno kama anasex na mwanaume ila ya mbuzi kagoma na ingine ile ya kukalia. Ameacha chuo and yupo tu mtaani akiuza nyama.
 
Hadithi chafu ni ishara ya mwisho wa dunia.
Unakaa na mwanamke bila kumuoa
Ana mwanamme mwengine na wewe unamjua na unaendelea kulala nae
unafanya zinaa kwa dada na mdogo wake.
Uchafu mtupu.Bila kukuuliza nimeshajua dini yako.
Dunia haina mwisho mkuu, mnadanganywa sana huko mnakoendaga j2 j1 na ijumaa
 
Huna akili we Jamaa
 
Kuna binti mwingine hapa hana uwezo na anataka kusomeshwa
 
Buzi la wanachuo, hongera kwa kushow love kwa wakusoma.
 
Somesha tu wapigaji tupo
 
How the fvck unakuwa ndani ya penzi na mtoto wa form 4, ambaye bila shaka ni 16-17?

Wewe una matatizo ya akili bila shaka.
 
siyo kusalitiwa tu inatakiwa uuawe kabisa huna akili unamsomeshaje mwanamke,acha ujinga somesha ndugu zako na uwasaidie wazazi wako.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
May be iwe chai kama ninavyohisi,
ila we Kwa kiingilish tunasema.
Una KIMBELEMBELE-FRONT
 
Wewe ni MPUMBAVU
 
Jiandae kupigwa na kitu kizito sana mkuu, tena andaa na kamba kabisa ya kukusaidia kujitoa uhai kama wewe una moyo mwepesi tofauti na hapo acha kutupa hela , hizo hela za kumsomesha mpe mama yako ale maisha mpaka aonekane kijana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…