pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,364
- 4,046
Huyo sitaki nataka...usijali vita ni mbinu...
Thats what happens when kids handle this kind of business! Yaani huyu alikuwa kashaliwa zamani sanaaa.ulikuwa umeshampata but hukujua....now kazi unayo....
Ah wapi unamfisidi halafu basi una muacha....NIMPENDENANI ukiharibu kitu unatengeneza
good point.Wakati nafanya hayo mambo sikuwaga namwambia mtu kama namtaka, everything happened automatically. Tatizo papara, ukipata mwingine usiwe na haraka kumtamkia upendo, mweke kwenye penalt ye mwenyewe aanze kuteseka kwa ajili yako.
Wengine wanaharibu ili kufanya innovation,ni kuwapa nafasi tuAh wapi unamfisidi halafu basi una muacha....