Uongozi wa awamu ya nne umewaharibu hadi wanaume mnaongea na kuwaza kuhongwa hongwa tu.
Bado nimeduwaaaaaaaaa!!
mwalimu nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa
Bado nimeduwaaaaaaaaa!!
baba mwenyenyumba alikuwa omba omba sasa unategemea watoto wakiume kwanini wasiwe lelemama,ndomana wale watotot wakiume wanaojilemba sana naskia sikuhizi wanajiita maauntUongozi wa awamu ya nne umewaharibu hadi wanaume mnaongea na kuwaza kuhongwa hongwa tu.
Duuuuuuh!!!!!!!!! Utakuwa mtabiri hakiya mama...Yaani mule mule.... Cha kujifunza ni kwamba pamoja na umasikini wao ila walipendana na kuheshimiana sana kiasi cha kunifanya kuwa baba bora kupitia malezi yao.we unalia umasikini kwa sababu mama yako mjinga aliolewa na baba yako msukuma mkokoteni wa ilala
everhurt;
Usiduwaeeee, ndicho kizazi cha dot com hiki. Atii anaona fahari saana kutamani kuwa laiti angelikwa wa kike. Angesha pewa gari mkoko naye auendeshe.
Nadhani huyu mtoto si riziki. Kwa mawazo yake haya, Mhhh
Pole mrembo .