Ubuntuwize
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 312
- 93
Hahaaa, hata wafupi tunawataka bana trouble..Wapo ila wanataka wanaume warefu, je ww ni mrefu?
Natumai ww ni mrembo.
Hahaaa, kwanini atangulie ?,tunaongozana vizuri tu kama nipo na first born wangu kumbe mume, nimekosa sifa ya urembo tu,ndyo kilichofanya nisiende pm kwake[emoji30]Natumai ww ni mrembo.
Kazi kwako ila wanaume wafupi wana gubu halafu hawajiamini kama utavumilia kila la heri.
Nb;utakuwa umemzidi urefu mkitoka itabidi mmoja awe anatangulia mbele[emoji3][emoji3]
Kwani avatar yangu hiyo mkuu?,ohooo usidanganyike kabisaa[emoji3]Kwa hiyo avatar ww ni mrembo embu nenda pm maisha yenyewe ndio haya haya.
Avatar na ID hurejezea uhalisia wa mtu.ππ Bila shaka kuna kamuendano flani hivi.Kwani avatar yangu hiyo mkuu?,ohooo usidanganyike kabisaa[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa, njoo pm kwangu mkuu. mimi nahitaji kichwa cha finance kama wewe hivi, maana napata shida sana juu ya financial management.Hahaaa, kwanini atangulie ?,tunaongozana vizuri tu kama nipo na first born wangu kumbe mume, nimekosa sifa ya urembo tu,ndyo kilichofanya nisiende pm kwake[emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna uhalisia wowote mkuu, usipotoshwe na hizi I'd na profs[emoji3]Avatar na ID hurejezea uhalisia wa mtu.[emoji3][emoji3] Bila shaka kuna kamuendano flani hivi.
Hahahaa.. ondoa shaka vigezo vitazingatiwaUna hela wewe na dushe la kumtandika kutwa mara tatu
Hahahaa.. kwani wanaume wafupi wamekosa nini mkuu...ubaguzi huo sasa??Natumai ww ni mrembo.
Kazi kwako ila wanaume wafupi wana gubu halafu hawajiamini kama utavumilia kila la heri.
Nb;utakuwa umemzidi urefu mkitoka itabidi mmoja awe anatangulia mbeleππ
Bila shakaAvatar na ID hurejezea uhalisia wa mtu.ππ Bila shaka kuna kamuendano flani hivi.