Quaresma Fai
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 592
- 635
aaaaaah this word lone pair ,umenikumbusha mbali Mzee!!Pole sana mkuu. Yawezekana kwa sasa yeye na mtu wake wa kwanza mambo hayaendi kama alivyokusudia. Kwa iyo umewekwa kama spea, wakati akiendelea kufuatilia mwenendo wa mahusiano ya kwanza,kabla hajaamua kufanya maamuzi magumu ili asibaki 'lone pair'. Nini cha kufanya, inategemea na malengo unayoingia nayo kwenye mahusiano, kama ni ndoa au 'unapita tu'....!
amesema ondoa nukta ndani ya hayo mabanobado sjajua ni wapi shida..
Kivipi kanizidi akiliKwa kifupi tu , kakuzidi akili
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kule kapigwa kibuti kaona arudi kwa kidumu.
Nimekupata kabisa kiongoziMkuu siyo kila dimbwi ukiliona lazima uoge. Unaweza kuwa mshika pembe tu kwa afya yako. Mfanye dada wa hiyari, yeye sikashakwambia ana mtu tafuta na wewe mtu ajue unaye then mtakuwa mabest, mtu wa design hiyo unaweza mfanya chochote kasoro ku do tu. Na sometime ni nzuri inakuwa kama study case kuwajua hawa viumbe na findings uta apply mbele ya safari. kwani anaweza kuwa muwazi sana kwako.
Mapenzi hayana usomiNa la saba yangu nadunga wasomi wenzio wewe msomi unashindwa vipi kumdunga msomi mwenzako
????mambo ya wavulana na wasichana hayo
Hapo umesema ukweli mtupuPole sana mkuu. Yawezekana kwa sasa yeye na mtu wake wa kwanza mambo hayaendi kama alivyokusudia. Kwa iyo umewekwa kama spea, wakati akiendelea kufuatilia mwenendo wa mahusiano ya kwanza,kabla hajaamua kufanya maamuzi magumu ili asibaki 'lone pair'. Nini cha kufanya, inategemea na malengo unayoingia nayo kwenye mahusiano, kama ni ndoa au 'unapita tu'....!
Maisha ya chuo bhana...Habari wanajamvi wote...
nimetokea kumpenda binti ambaye niko naye chuo kimoja ,nikamueleza ukweli wangu akanijibu "hanipendi" na "haitawezekana" yeye kuwa na mimi kwa sababu ana mtu wake...
Nikachunguza kwa marafiki zake wakasema kweli ana mtu wake na hanipendi kweli....nikakomaa na dem kwa nguvu zangu zote akanichomolea nikaamua kumpotezea kabisa...
Tatizo likaanzia hapo kila mara ananicheki kwenye simu mara aseme nimpelekee zawadi kwanini niko mbali naye ...
Basi nikajua mtoto kaelewa muziki ila anahofia kuucheza ..nikaanza kuomba game akawa ananipotezea kama hanielewi mwisho nikachoka kuomba game..
Nikamteli kama huwezi kunipa game tusisumbuane kwa njia yoyote ile akanijibu powa aina noma..
Kumwambia hivo ikawa ndo nimekoleza moto ndio akazidisha usumbufu..nikiongea na simu au nikichati atanyakuwa simu ili ajue ni nani nawasiliana naye ,anasema hataki anione nina mzoea na mademu wengine
Naombeni ushauri wenu juu yake
Nimeshindwa kumuelewa