Nadhani nitakuwa tofauti kidogo, tabia za mwanadamu sometimes zinatokana na upbringing. Kama amelelewa kwenye mazingira ambayo tangu utoto wake hakufundishwa kushukuru (kusema ahsante), then itakuwa ngumu sana kwake ku adopt tabia ya kusema ahsante na hiyo tabia itaenda hivyo mpaka kwenye uzao wake maana nae hataweza kuwafundisha watoto wake kushukuru. Hivyo itahitaji muda wa ziada mpaka huyo mwanadada aweze kujengeka na tabia ya kusema ahsante.
Ila mwanzo wa tatizo ni malezo aliyoyapata. Wee