Msichana anayejua Computer anatakiwa

Msichana anayejua Computer anatakiwa

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Msichana mwenye ujuzi wa kutosha katika kutumia Computer anatakiwa,.... hakuna elimu zaidi ya kujua Computer .. anayeishi DSM maeneo ya Ubungo, External, Mabibo, mwenge atafikiriwa zaidi .. mwenye interest PM
 
me najua computer na namba yangu ni 0757 851539,naishi tababa relini
 
sasa mahali anapoishi mtu panahusiana vipi na hiyo ajira au kazini atakuwa anatoka saa kumi za usiku masharti mengine sio bhana we sema anaeishi dar inatosha.
 
Kwanini sichana? au anaenda kurekebisha computer za masista?
 
kazi gani? mshahara kiasi gani? muda wa kazi..............
 
Kazi kweli kweli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tanzania imejaa utapeli tu.....ndo maana kamwe hatuendelei.
 
Msichana mwenye ujuzi wa kutosha katika kutumia Computer anatakiwa,.... hakuna elimu zaidi ya kujua Computer .. anayeishi DSM maeneo ya Ubungo, External, Mabibo, mwenge atafikiriwa zaidi .. mwenye interest PM
NimekuPM mkuu
 
Ubaguzi kweupeeeee!na usipompata utasema unahitaji mlemavu wa kiume mjuzi wa komputa teh,teh.
 
Mimi najua na nipo mabibo.Mawasiliano
 
sasa mahali anapoishi mtu panahusiana vipi na hiyo ajira au kazini atakuwa anatoka saa kumi za usiku masharti mengine sio bhana we sema anaeishi dar inatosha.
... Kwa muelewa ataelewa.. inasaidia sana kufanya kazi mahali ambapo hupati tatizo la usafiri ni tofauti na mtu anayekaa Buza kufanya kazi Kawe..mshahara utaishia kwenye daladala ... kuamka saa 10 alfajiri kurudi saa mbaya ndo maana tunataka wa maeneo jirani na ofisi
 
Ubaguzi kweupeeeee!na usipompata utasema unahitaji mlemavu wa kiume mjuzi wa komputa teh,teh.

Kwa muelewa ataelewa.. inasaidia sana kufanya kazi mahali ambapo hupati tatizo la usafiri ni tofauti na mtu anayekaa Buza kufanya kazi Kawe..mshahara utaishia kwenye daladala ... kuamka saa 10 alfajiri kurudi saa mbaya ndo maana tunataka wa maeneo jirani na ofisi
 
... Kwa muelewa ataelewa.. inasaidia sana kufanya kazi mahali ambapo hupati tatizo la usafiri ni tofauti na mtu anayekaa Buza kufanya kazi Kawe..mshahara utaishia kwenye daladala ... kuamka saa 10 alfajiri kurudi saa mbaya ndo maana tunataka wa maeneo jirani na ofisi
kazi ni option ya mtu kama ameamua kufanya kazi hatajali umbali unaousema wewe kwa sababu anatambua shida atakazokumbana nazo kwanini umkatishe mtu tamaa,kuna watu wanaishi mlandizi,kibaha,bagamoyo wanafanya kazi hapa dar na wao watasemaje.
 
me najua computer na namba yangu ni 0757 851539,naishi tababa relini

.... Sijui Kama uko serious .. kwa kuwa namba umeiweka hadharani na simu hupokei ... niliomba ufanye PM yaani private message.. inakuwa rahisi kwa mawasiliano bila kuingiliwa na wahuni... maana watu wengine kupata no ya mtu ni usumbufu...
 
mm najua computer no naishi uwanja wa ndege 0713 226740
 
Haya sasa umeshaanza kumtoa kasoro aliyeweka tigo yake wkt haipo hewani. Acha ujinsia na umaeneo ita watu wafanyie interview upate mfanyakazi mzuri.
 
Back
Top Bottom