Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,651
Asnam naomba uniulizie kuhusu hiyo computer je ni kuijua kuitamka mdomoni? Au awe amepitia mafunzo ya intro ama alie soma microsoft or anahitaji wale wana I.T maana wana I.T ndo wanaijua computer ndani nje.sasa mahali anapoishi mtu panahusiana vipi na hiyo ajira au kazini atakuwa anatoka saa kumi za usiku masharti mengine sio bhana we sema anaeishi dar inatosha.
Last edited by a moderator: