Msichana anatafutwa amepotea

Msaada kwa mtu yeyote atakaemuona msichana huyu anaitwa Angel Robert ametoweka ghafla nyumba yeye ni wa Bukoba naomba msaada kwa yeyote ambae atakaemuona popote pale atoe taarifa kwenye number 0657516771 / 0758716186
Haka kablack beuty jamaa wameoa kabisa.... hata ningekuwa mimi ningetorosha tu tena kawe bikira na weusi ule daaah.
 
Msaada kwa mtu yeyote atakaemuona msichana huyu anaitwa Angel Robert ametoweka ghafla nyumba yeye ni wa Bukoba naomba msaada kwa yeyote ambae atakaemuona popote pale atoe taarifa kwenye number 0657516771 / 0758716186
Mh! Kwa umri huo, katoweka au katoroshwa?
Piga ripoti kituo cha polisi halafu fuatilia kwa marafiki zake polepole, waweza kupata hata fununu ya kuanzia.
Nakuomba ufanye bila "pressure".
Umri wa mihemuko una misukosuko mingi sana ya kupitia mkuu.
 
oky poa ndugu
 
Huyo ni mtoto. Kuingiza mambo ya kikubwa ni kukosa hekima na busara. Kuna ajali na kupotea pia. Tatizo, tangazo halipo wazi. Nilidhani angetajwa umri na alipo potelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…