Msichana anatafuta kazi Dar

Msichana anatafuta kazi Dar

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habarini wana jamvi.
kuna msichana anatafuta kazi yoyote ya kumkeep bize ni muhitimu wa kidato cha nne 2015 anakaa Dar ., yuko tayari kufanya kazi kwenye shirika au hata kwa mtu binafsi ukimhitaji ni pm.
 
Mmmm watu wanawezwa guswa na hilo hitajio la huyo msichana tajwa, na kutaka kutoa msaada unaohitajika. Tatizo liko kwenye hilo jiba la mleta hoja (Al Shabab), loooih. Mleta hoja kabadili jina ndipo ujipange upya kutangaza!
 
Jina lako pia linaakisi mawazo yako finyu.
 
ni pm no yake, kuna mradi wangu ntafungua miezi ijayo au ntampa hata ushauri
 
Mmmm watu wanawezwa guswa na hilo hitajio la huyo msichana tajwa, na kutaka kutoa msaada unaohitajika. Tatizo liko kwenye hilo jiba la mleta hoja (Al Shabab), loooih. Mleta hoja kabadili jina ndipo ujipange upya kutangaza!

jina limekuaje tena Mama Mdogo
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1453324720496.jpg
    1453324720496.jpg
    49 KB · Views: 38

Similar Discussions

Back
Top Bottom