Hebu twende beyond kidogo, katika maisha ya kila siku kuna kitu kinaitwa nyota. May be kwa sasa nyota inang'aa, ingawaje suala la kutongozwa na wanawake lina uzito wake katika jamii zetu za kiafrika.huwa tunasema una kismati. Lakini unatakiwa ufahamu kupendwa na mwanamke ni jambo moja na kutamkiwa ni jambo jingine. Kuna watu wengi tu wanapendwa na wanawake lakini wanaweza wasitamkiwe. Kwa nn? Inategemeana na jinsi gani mtu anavyo behave. Labda nikupe hii dondoo ifuatayo; wanawake wanapata hofu ya kuwatamkia wanaume waongeaji sana na wanaume ambao wako seriuos.ila ni wepesi kwa wanaume wakarimu na wapole, wasio na makuu.Nitatoa sababu. Ikumbukwe hapa nazungumzia kutamkiwa sio kupendwa. Kupendwa hata uwe vipi utapendwa tu!. Sababu ya mwanamke kupata hofu ya kuwatamkia aina ya watu nliowataja ni kama; kuna wale wanaume ambao ni talkative, yan ye akiwa chuo, kazin stori huwa haziishi. Mwanamke huhofia endapo nikikataliwa na huyu mtu itakua ndo habari ya chuo.Hivyo hujitahidi kutengenza mazingira ili wewe mwanaume umwambie. Kwa upande wa wanaume serious; hapa mwanamke humuingia ugumu wa kupata attention ya mhusika.mtu akija kazin mpaka anaondoka hana story na mtu. Hii hupelekea mwanamke kuogofya. Nb: Uso wa mwanamke umeumbwa na haya zaidi ya mwanaume. Ila wanawake hupata nafuu kidogo anapomuona mwanaume mkarimu. Hii itampa hamasa na anajua hata kama humtaki utamjibu kistaarabu na hutamtangazia. Tukija kwenye mada, muddy hayo yanakutokea kutokana na the way unavyo behave. Wengi hupendwa na wanawake ila wachache hutamkiwa. Naomba niishie hapo kwa leo. Nisiwachoshe.