Msichana akizingua mzimie data (wahuni sio watu)

Msichana akizingua mzimie data (wahuni sio watu)

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,144
Reaction score
2,513
Inakua ni nini asee wajuba wa humu ndichi,,I hope mko yente,,bas bhana kabla ya full story ntakua na "Mbili tatu za mzambuli" ambayo ni story 2 ila haihusiani na Targeted story..Now here we go..

(MBILI 3 ZA MZAMBULI)
Bas bhana ile Jana tukiwa msibani tumekaa huku tumemzunguka chalii mmoja hivi wakuitwa Mzambuli akitupa fix na uongo wake..

MZAMBULI:Oyaah skilizeni mavijanaa niwape ukweli kuhusu Corona..
SISI:Ushaanza mzambuli!!unajua nini kuhusu Corona wewe??
MZAMBULI:Ndo mnisikilize nyie vipi?!,Mnajua huu ugonjwa ni wakutengenezwa?limeutengeneza jamaa linaitwa li Masihi,,mnalijua li Masihi nyie??
SISI:Ndio,,Masihi Si ni Yesu.!
MZAMBULI:Weewee.!!Li Masihi ni li rafiki ake na Trump alafu lina hela Chafu kinyama,likizipanga hapa Ngarenaro zinaweza fika hadi Shinyanga,,Yaani uchumi wa dunia ukiyumba huwa yanafatwa ma'mtu kama majina Masihi yaikopeshe serikali hasa ya China na Marekani..
SISI:Mhhh Mzambuli hizi sasa Kamba broo..
MZAMBULI:iiii nawachana Ukweli washkaji zangu ,Li Masihi dawa linayo ila linataka watu wafe kwanza ili liwatawale vizuri,,
SISI:Hahahaha we chalii bhana,,kwahyo lenyewe linaishi wapi?
MZAMBULI: Ni Liyahudi,nyie hamjui kuwa ata rafiki ake Trump ni Myahudi??
SISI:Hizi taarifa za kiduanzi unazitoaga wapi bro?
MZAMBULI: Skilizeni BBC nyie mafala..
SISI:Fala mwenyewe..

(TARGETED STORY)
Baada ya Vyuo kupigwa lock kwa time iliyom'shoot Tundu lissu,Chaliako nkaamua kujichanganya kitaani kuparangania life nisikae kiree nkakata ringi ki'whack asee..

Katika kudownload mafekechede Si nikasakanya mbishe moko ivi nilimegewa pande na chaliangu mmoko wa Kijenge Jula,Anaitwa Mapansu,,So tukawa tunaikimbiza hadi saivi..

Sasa kulikua na manzi mbix ambazo ndo zilikua zinatusololeshea izo mambo za diko(misosi)fas dwarara za job,ila kati ya hao mamamsi wawili kuna mmoko Mimi na chaliangu tulimuelewa so tukapanga kumrukia mavokali ila akaruka mita laki nane na nusu na robo ake,et hataki mazoea na Machalii wa Gachuland,nikaona iki ni kisangalai,ila akili za Ngareroo na Mapansu anazimanya yechu lakini uyu manta au analeta pigo za umbanga apa kati!?..

Nikampanga Mapansu tumzimie Data uyu Mamiloox,yaani akuna kumuongelesha wala kumpa izo ma hi na akitubongesha sisi tunaweka Tint alaf wa mee kinyama,hatufugi mbwa sisi..

Akili zetu zinaendana,,bas hawa mamanzi wakituletea msosi tunamsemesha2 yule mwengine ila yule fala hatumsemeshi,akitupa hi tuna'mute,akibonga story za kuchekesha wauni hatucheki ila mwenzie akibonga tunacheka kama kawa,show show Bablai..

Hadi akawa anajiskia vibaya,,Day moko ilikua mishale ya Saa1 mornie nimelala mageiyo(ghetto) mala naskia Bwii bwii,ni yule manzi kanivutia ng'ora kwenye Ting'ring'ri angu,nikapokea then nikaeka phone miguuni alaf nkavuta shuka,,akaanza kuniletea lomoni na Perepete shazi,et.
MANZI:Ngareroo Leo niwaletee chai na vitafunwa gani Babaangu?,,muuni namdere2 alaf moyoni nasema pita ivi kuzi wewe,,bas Manzi akalalama kaa mtoto njiti kanyimwa chai ya maziwa,et sikuizi hatumsemeshi alaf mwenzie tunamgei kampani yeye Hamna..

Bas walipotukuta job ikabidi aombe msamaha,,Eeh ukijidai unajua Kukaza sisi Waenduru tunakukazia..


@NgarenaroBoy.
 
Mnatuharibia lugha yetu bhana watu tunahangaika kukijenga kiswahili wewe unashiriki kukibomoa,
Usela gani huo wa kishamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom