Ila hayo ni majibu wanapewa wanaume dhaifu,mwanaume kamili anaambiwa like this:
1.Give me sometime to think about it
2.Lakini wewe si una girl friend\mchumba
3.Ila una mistari dah?
4.Umeniacha kwenye dilema
5.............................
Heri wewe anakwambia, wengine unakuta tu amepost kwenye fb " Wanaume wengine bana siwaelewi, anakungangania wakati ulishamwambia humpendi na sio wa type yako". Kumbe huku ana kidume kingine, ngoja kimpige chini utaona atakavorudi fasta. Nawe unajifanya umesahau halafu unampa kubwa. Dawa ya moto ni moto.