Msichague chama, chagueni mtu??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msichague chama, chagueni mtu???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Taifa_Kwanza, Mar 31, 2011.

 1. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chama cha Democrasia na Maendeleo kilitumia maelezo haya wakati wa kujinadi kwenye uchaguzi
  mkuu wa 2010.Je, kilikuwa kina maanisha nini?

  1. Kwamba watanzania wanakitaka ccm ila hawawaki wagombea wake, hivyo wakipambanishwa
  wagombea basi ccm wangeshindwa?

  2. Kwamba Watanzania hawakipendi chadema ila wanawataka wagombea kutoka chama hicho?
   
 2. I

  Independent-Mind JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2015
  Joined: Mar 10, 2015
  Messages: 712
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  That make sense hasa kwa mwananchi wa kawaida asiye na chama anayejali ubora wa maisha yake.ukiona mtu yuko kwenye chama ambacho hakina mvuto kwako lakini ukimsikiliza binafsi you get that sense of hope,then vote for him/her.
   
Loading...