Msibani: Mazishi ya ndugu zetu Waislam

Msibani: Mazishi ya ndugu zetu Waislam

Ni kweli tujitahidi mambo yetu yawe straight na yenye mantiki.

Maana waweza kuta baadhi ya misiba mpaka marehemu anajuta kufa maana kunakua na madoido balaa tena ya ajabu ajabu.
Hakika unaweza juta kufa. Maana unatwishwa mzigo wa milolongo mpaka unakoma. Picha linaanza, ndugu yako aliye ulaya anasubiriwa mpaka afike, week 2 zinakuhusu hapo 😂
 
Kuna ubaya gani kuchukua muda hata na resources kumsindikiza ndugu yenu safari yake ya mwisho?

We kama huna hela tulia tu.

Ni mara ya mwisho kuuona huo mwili, hutakaa huuone tena maishani mwako sasa kuna ubaya gani kuupa heshima za dhati?
 
Hakuna ubaya wowote.
Sasa kuuona kwa mara ya mwisho ili ibadlishe nini na unaouna miaka yote?
We kama huna hela tulia tu.
sababu za kipumbavu hizi huwa sibishanagi nazo
Ni mara ya mwisho kuuona huo mwili, hutakaa huuone tena maishani mwako sasa kuna ubaya gani kuupa heshima za dhati?
Inasaidia nini?
What logical difference does it make?
 
Hakuna ubaya wowote.
Sasa kuuona kwa mara ya mwisho ili ibadlishe nini na unaouna miaka yote?

sababu za kipumbavu hizi huwa sibishanagi nazo

Inasaidia nini?
What logical difference does it make?
Logical kwako au kwa wanaofanya hivyo? Walikuomba ukashirikiane nao?

We kama hutaki vya kuaga na kusubiriana si uzike unavyoona inafaa, unashoboka nini na itifaki za watu wengine wasiokujua wala usiowasaidia hata sumni?
 
Mbona imekuuma sana mwenyekiti wa kamati za misiba?? Unakula sana ganji za bajeti za mazishi mzee maana sio kwa kukasirika huku? 😂😂😂
 
Muda huu niko makaburini kama mwanajamii na wananchi wenzagu kumsindikiza ndugu yetu hapa mtaani.

Kama mjuavyo, linapokuja suala la kifo, hutumiwi taarifa ya kabla ili ujiandae maana wote ni wasafiri na dakika yoyote, kituo chako kinaweza kikawa ndio hicho kinachofuata, ukapigwa chini tukakusahaau.

Sasa jamaa hapa mtaani kafariki. Yeye kwa dini ni muislam. So baada ya kusogea muda nikajumuika nyumbani kuwafariji wapendwa.

Kwakweli nimekuwa inspired sana na kwa namna nyingine nikawaza mbali sana.
Mwili umetoka hospitali, ukafika nyumbani. Ukaandaliwa . Chakula (very simple- wali maharage kiduchu) kikaliwa hata dakika 10 hazikufika sahani zikakunsanywa.

Vijana wakaweka machela yenye mwili wa marehemu begani safari ya msikitini.
Inada ikaisha, mwili kama kawaida ukawekwa mabegani safari ya makubirini ikaanza. Umbali kama 2kms hivi watu wanapokezana jeneza mpaka makaburini.

Tunamaliza kumfukia hapa na shughuli ndio imeisha hivyo. Yaani kwa kifupi tangu mwili ufike toka hospitalini haikuchukua masaa matatu mpaka tunamfukia makaburini.

Very simple. Haina kauwekana wala kuchoshana.

Nikawaza kwasisi wakristo sasa milolongo.

Kwanza hapo mpaka wapigiwe ndugu wote akusanyike, pesa zichangishwe. Hapo kama siku 2 hivi zinakatika kusubiriana mfike. Gharama za kulisha na kulaza kundi.

Muanze kuchapisha ma tshirt ya picha za Marehemu
Muanza kukamatana michango ya jeneza sijui na vitu vingine.
Mtafute camera man na mpiga picha , organization ya magari, mara hili la mke wa marehem, hil la wazazi sijui mataji na mashada ya kuweka kaburini.
Mjiandae kujengea kaburi zege. Hapo usisahau kutafuta mziki wa kukodi kuwaburudisha wafiwa..
Mfululizo wa vikao vya kutosha.
Bado baada ya msiba kuisha, wafiwa wanabaki na madeni. Mara mtu wa catering hajamaliziwa pesa yake. Mara hiki mara kile. Mambo chungu mbovu

Aisee sisi wakristo tuna complicate sanaa haya mambo honestly speaking. Hapa sijaona hata gari moja. Na ndio tushamaliza kila mtu anarudi kwenye shughuli zake.

NB.
Ni mtazamo wangu tu, sio kwa ubaya.
Mungu awatie nguvu wafiwa wote.
Sisi wakristo aisee! Mabufee mpaka aibu utasikia niongezee nyama, ongeza ndizi kidogo halafu nipe na hiyo koka kola hapo!
 
Kambaku Anasema kama huna hela tulia, inakuhusu nini mtu mtumia resource zake kumuaga mpendwa wake kwa mara ya mwisho!!??.
Namuuliza logical implication ya hayo yoote ni nini? Ananitukana 😂
 
Tatizo wanasumbua watu wachange Kwa nguvu na wanaukoo Kuna kiasi kabisa kama ni laki 1 lazima Kila mtu atoe!
 
Muda huu niko makaburini kama mwanajamii na wananchi wenzagu kumsindikiza ndugu yetu hapa mtaani.

Kama mjuavyo, linapokuja suala la kifo, hutumiwi taarifa ya kabla ili ujiandae maana wote ni wasafiri na dakika yoyote, kituo chako kinaweza kikawa ndio hicho kinachofuata, ukapigwa chini tukakusahaau.

Sasa jamaa hapa mtaani kafariki. Yeye kwa dini ni muislam. So baada ya kusogea muda nikajumuika nyumbani kuwafariji wapendwa.

Kwakweli nimekuwa inspired sana na kwa namna nyingine nikawaza mbali sana.
Mwili umetoka hospitali, ukafika nyumbani. Ukaandaliwa . Chakula (very simple- wali maharage kiduchu) kikaliwa hata dakika 10 hazikufika sahani zikakunsanywa.

Vijana wakaweka machela yenye mwili wa marehemu begani safari ya msikitini.
Inada ikaisha, mwili kama kawaida ukawekwa mabegani safari ya makubirini ikaanza. Umbali kama 2kms hivi watu wanapokezana jeneza mpaka makaburini.

Tunamaliza kumfukia hapa na shughuli ndio imeisha hivyo. Yaani kwa kifupi tangu mwili ufike toka hospitalini haikuchukua masaa matatu mpaka tunamfukia makaburini.

Very simple. Haina kauwekana wala kuchoshana.

Nikawaza kwasisi wakristo sasa milolongo.

Kwanza hapo mpaka wapigiwe ndugu wote akusanyike, pesa zichangishwe. Hapo kama siku 2 hivi zinakatika kusubiriana mfike. Gharama za kulisha na kulaza kundi.

Muanze kuchapisha ma tshirt ya picha za Marehemu
Muanza kukamatana michango ya jeneza sijui na vitu vingine.
Mtafute camera man na mpiga picha , organization ya magari, mara hili la mke wa marehem, hil la wazazi sijui mataji na mashada ya kuweka kaburini.
Mjiandae kujengea kaburi zege. Hapo usisahau kutafuta mziki wa kukodi kuwaburudisha wafiwa..
Mfululizo wa vikao vya kutosha.
Bado baada ya msiba kuisha, wafiwa wanabaki na madeni. Mara mtu wa catering hajamaliziwa pesa yake. Mara hiki mara kile. Mambo chungu mbovu

Aisee sisi wakristo tuna complicate sanaa haya mambo honestly speaking. Hapa sijaona hata gari moja. Na ndio tushamaliza kila mtu anarudi kwenye shughuli zake.

NB.
Ni mtazamo wangu tu, sio kwa ubaya.
Mungu awatie nguvu wafiwa wote
Uko sahihi mkuu. Wakristo tumeingiliwa na mapokeo ambayo bila kujua kuwa ni ushetani tunajifariji in the name of "heshima kwa marehemu". Huu ni upagani kama upagani mwingine, ila umefichwa katika vazi la kikristo, period. Ukifuatilia hata katika maandiko hupati fungu linalotetea haya unayoona leo. Wakati Lazaro alipofariki, walizika chap, bila hata kusubiri rafiki yake wa karibu Yesu kufika msibani.
 
Sema mmezika Mwislamu wa maisha ya kawaida, Waislamu wenye uwezo magari yanakuwepo na gharama zinatumika ingawa wao hujitahidi kutotumia muda mwingi.

King Hussein wa Jordan ni Mwislamu lialia ila alizikwa na viongozi wengi duniani, aliyekuja kuvunja rekodi yake ni Nelson Mandela. Na hapo Hussein aliumwa muda na alikuwa kwenye life support walipanga tu lini iondolewe ndio moyo usimame hivyo kila mlengwa alikuwa ameishajiandaa kuja kwenye mazishi.
 
Sure...suala ni simplicity.levels pia zinahusika hilo liko kila mahala
 
Back
Top Bottom