Msiba wa X-Makererian(Eng Dominic Augustine Mshanga)

Joined
Jul 10, 2009
Posts
31
Reaction score
1
Ndugu yetu na rafiki yetu Dominic alifariki kwa ajali ya gari na taratibu zote za maziko zinaratibiwa nyumbani kwao maeneo ya Mbezi Beach.
Hivyo basi ukiwa kama ndugu au rafiki pamoja na X-Makererians kwa pamoja tukutane maeneo ya Mbezi Beach-Samaki pale Bamboo CLub ili tuweze kujumuika pamoja na kushirikiana na familia ya marehemu.

Kwa Mawasiliano zaidi
0715488400
Asanteni.
 
Kweli dunia ni mapito!! Dominic imekuwaje tena? Namuombea roho yake ipumzike kwa amani.
Ningependa kujua ajari ilitokea wapi???
 
Duuh, nimethibitisha maana nilikuwa hata sijui yuko wapi.
 
Back
Top Bottom