chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,980
Watu wenye mawazo ya kijinga kama haya ndio wanaofanya Afrika inakua masikini karne hadi karne.Tafuta hela acha kuitesa familia yako kwa mawazo yako ya Kimasikini masikini
Ni kweli, lakini umauti umemkuta akiwa tajiri.Mfu hana anachomiliki, mfu ni maskini tu
Huyu anayelia hapo ni Regina au Jack? Hasomeki
Mkubwa akiumwa ni kama kujamba. Huwezi kusema fulani kajamba.Mm anauliza tu, mzee
Mimi anauliza tu Mzee mengi kafa kwa sababu ipi? Kama alikuwa mgonjwa si watuambie tu, hata kama ni mengine tutajilazimisha kukubali, coz sijaskia popote kuwa alikuwa mgonjwa, wapo kimya,
Wengine wanasema alienda likizo kwa niaba ya watoto, then what???
Mbona ruge tuliambiwa kafa kwa figo na tunaamini koz alikuwa hospital sote tunajua, hata kama ni mengine lakini tunajua ni figo.
Je Mzee Kafa kwa ugonjwa upi?
To weak to be married au niaje?Hizi fikra mbovu sana hivi hao wanyarwanda wa nini? Kikubw nimeishi kigali 5yrs na nusu kitu wanaji'proud nikwamba watz tunawahofia... And on my side i know them they are too weak
Aisee anachofikiri mi nakijuaNingependa sana kujua anayofikiri Ma Salma....hayo macho...
Wachaga huwa hawana utamaduni wa wife inheritance ?upande wa Kulia pichani ni Benjamin Mengi mdogo wa Mzee Mengi kushoto ni Felix Mosha rafiki wa karibu wa Mzee Mengi
Sasa hapo utajiri umemsaidiaje against kifo?Ni kweli, lakini umauti umemkuta akiwa tajiri.
Mke anaridhi ni utamaduni wa mchaga bila ubishi Mali yote aliyopatikana akiwepo kwenye ndoaWachaga huwa hawana utamaduni wa wife inheritance ?
Haujamsaidia kweli na istoshe kifo ni lazima kwa kila mtu...miaka 77 ni baraka kubwa.Sasa hapo utajiri umemsaidiaje against kifo?
Tumalize msiba kwanza.Ningependa sana kujua anayofikiri Ma Salma....hayo macho...
...Kifo ni jambo la kawaida...Sote safarini....Kucomment unayoona kwenye picha sio dhambi...Sijamlaumu yeyote kwenye comment yangu...Tumalize msiba kwanza jameni.
Kasome kitabu cha "muhubiri" utajua kuwa kujilimbikizia ukwasi nao ni ubatili.Haujamsaidia kweli na istoshe kifo ni lazima kwa kila mtu...miaka 77 ni baraka kubwa.
Ila ukweli ni kwamba kapambana angalau kwa sababu ametokea kwenye umaskini enzi za uhai wake na kapigana na kuupata utajiri ambao wengi wamenufaika moja kwa moja wengine ajira n.k
Namaanisha pamoja na kuwa tajiri duniani lakini bado tunaondoka na kuviacha hapahapaHapana ruge bado akiwa south tuliambiwa ana tatizo la figo. Uzi uko huku jf, unakumbuka walivyosema watanzania wamchangie ruge? Walisema ana tatizo la figo.
Basi na Mzee waseme, tunasubiri leo watasemaje.
Umeelewa swali au umedandia tu chalii yangu ?Mke anaridhi ni utamaduni wa mchaga bila ubishi Mali yote aliyopatikana akiwepo kwenye ndoa
Kuhusu kuridhi mke hakuna uchagani.ila atateuliwa kaka au mdogo wa kiume wa marehemu kusimamia nyumba ya marehemu akiwepo mke na watoto Katika kuiongoza . Kama mke atataka kuolewa na mtu mungine itabidi aache mali na watoto kwenye Ukoo aende kwa aliyemuoa.Umeelewa swali au umedandia tu chalii yangu ?
Wanyarwanda wamemaliza kazi.Nyie muwe na Kiwandani Cha kuunganisha Magari,simu shenzy kabisa Ushauri unaotolewa Kigari ni kuvuruga uchumi wetu mwisho liwe anguko kuu.Wakati tunamlaumu JPM mambo magumu wao wanajihimalisha 2025 anaweza simama mnyarwandwa kuwa mgombea na akachukua nchi kazi itakuwa imeisha ya Congo yatakuwa Bongoland.ukiiangalia sana hii picha ya cargo air port huyu mke wa mengi amezungukwa na wanyarwanda kila aliyekuwa karibu nae kuna mdada mkaka na wengine sijui walinzi wote pua ndefu