Msiba wa Bi KIDUDE.......PICHA

Namwona JK
RIP bi kidude

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kipaji kikubwa ,umasikini mkubwa ! Hata sielewi nyanya alikuwa na kaacha nini cha kujivunia zaidi ya nyimbo zake ! Najua kafa na umaskini mkubwa, japo alikuwa na kipaji cha ajabu ! Poleni wafiwa.
 
poleni wafiwa.serikali ilifanya kipi kabla hajafa?ila walichokumbuka kuweka bendera ya ccm kwenye jeneza
 
poleni wafiwa.serikali ilifanya kipi kabla hajafa?ila walichokumbuka kuweka bendera ya mafisadi kwenye jeneza
 
poleni wafiwa.serikali ilifanya kipi kabla hajafa?ila walichokumbuka kuweka bendera ya mafisadi kwenye jeneza

mpaka ufe ndo sifa kibao kila stesheni blah blah blah

wakati mgonjwa hatukuwaona!
 
Jamaa anajitahidi kuhudhuria misiba ...Ndio ubinadamu huo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…