Chit chat ilikua imeenda likizo
kwa takribani siku nne mfululizo kila mtu anazungumza habari za kifo cha Kanumba ki ukweli inauma ila ndo yashatokea na tushamzika leo basi hatuna budi kuwaachia wanafamilia waendelee na msiba wa mpendwa wao na sisi tuendelee na shughuli zetu za kila siku!
Yes bado sanaaa,adi kieleweke.doubts bado ni nyingi sanapicha halijaisha bado, Lulu mpaka haukumiwe.
Yes bado sanaaa,adi kieleweke.doubts bado ni nyingi sana