Ahsante ndg' japo ktk msafara wao uck wa leo wamevamiwa na majambaz na kuporwa kila kitu na wengine wameumia wako hospitaln' dah M/MUNGU tusaidie waja wako'
Kerpp - Hosipitalini walienda kwa check up tu, hawakuumizwa sana ila mmoja ndio ana chechemea mdogo wangu yupo kwenye huo msafara ndio aliye tuhabarisha. hata hivyo imebidi walale Singida waendelee na safari kesho.
duh poleni wadau,,nakumbuka mwaka 2011 mwanzoni tuliagwa na mwanachuo wa kiume aliyetokea kigoma alikuwa ni mzee mkubwa tu mwenye familia.MUNGU AZILAZE ROHO ZAO MAHALI PEMA PEPONI,AMEN
Mwanafunz wa kiume mwaka wa tatu afariki dunia ghafla saa3 alfajil, baada ya kutoka disc na kujisikia vibaya na kufariki papo hapo, anatokea Tarime (LYOBA), R.I.P ndugu yetu.