Msiba; Mzee Hemed Mmbaga

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,364
Reaction score
37,888
Mzee wetu mpendwa Hemed Mmbaga amefariki dunia juzi hospital ya KCMC alikuwa akitibiwa ugonjwa wa moyo.Mzee Mbaga alikuwa mkuu wa magereza mkoa wa Arusha pia kati ya mwaka 1980 - 1985 alikuwa mbunge wa Arusha mjini baada ya kumwangusha marehemu Ole Saibul.

Mzee Mmbaga anatarajiwa kupumzishwa kesho jumapili nyumbani kwake Usangi.Mzee wetu ameacha mke mmoja na watoto nane.

Mungu kampenda zaidi.

Amen.
 
RIP Mzee Mbaga, unge2wekea picha tumfaham. Kuna wengine hatumfaham.
 
Innalillah wainailaih rajiuun.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…