Msiba mkwawa university

Muce

Senior Member
Dec 19, 2011
116
14
Wameondokewa na dk. Itandala, aliyekuwa anafundisha history amefariki jana tar. 8 oct 2012.
Source mkuu wa chuo
 
poleni Watz wenzangu kwa kumpoteza Dr ambaye alikuwa anawafundihsa Watz wengi nao kupeleka elimu hiyo kwa wengine.
 
Rest In Peace Babu Itandala!
The Lord gave, the Lord has taken away...blessed be the name of the Lord,
Amen!
 
Poleni ndugu na jamaa,raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Amina.
 
Mungui amlaze mahali pema peponi na awatie ustahimilivu wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki zake wote ktk hiki kipindi kigumu.
 
Tunasikitika sana ila,2year tumemkosa zaidi mana ndo ilikua atufundishe HI;261--History of Tanzania....::.Alikua hodari:;;;:Ila kapendwa na Mungu,,....:.Mashallah::::
 
Back
Top Bottom